Nampenda sana Nargis Mohamed

Mpambano mkali wa ma miss ilikua Miss Ilala..Mbiki Msumi na Hoyce Temu....kisha ukahamia tena Miss Tanzania..Mbiki tena na Hoyce Temu
Mbiki na Angella 😁
Nahisi hii ndio Miss Tz ya kwanza kuifahamu maana nakumbuka kuna siku nilitumwa kwenye ghetto la bro mmoja, nikakuta gazeti la walimbwende kalibandika ukutani. Nikawa nawashangaa 😁

Zamani Miss Tz ilikuwa big thing hadi familia zilikuwa zinakaa kusubiria final show ndio maana sikumbuki hata ya kwanza kuiangalia ni ipi, ila kwa akili na ufahamu wangu, show ya kwanza kuikumbuka clearly ni ya nancy sumari, miss Tz 2005
 
Hahahahaha...zamani Miss Tanzania ilikua inatingisha haswa
 
Huyu si aliolewaga na Kipanya? Mke wa pili baada ya Kipanya kutalikiana na yule binti wa mzee Chande

Naona umeleta gumzo hapa si bure
 
Hahahahaha...zamani Miss Tanzania ilikua inatingisha haswa
Ila beauty standards zimebadilika pia bro. Enzi hizo english figure, cute faces, dimples, skin tonr na mwanya vilisumbua. Siku hizi bila haga, watu hawakuchukulii serious 😁

Yani kama millen magesse ndio angetoka leo, sidhani kama watu wangemzingatia kama enzi zake
 
Hahahahaha..siku hizi atokeee mtu afanye Miss Size Plus [ Miss Bantu ] atabamba sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ila miss Tz ya enzi zile ilikuwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Siku hizi unashangaa tu miss Tz imeshafanyika; hatuna habari
Ukiona hivyo ujue wakati huo umeshapita kwetu....hata wakati ule sisi tukifuatilia hayo mashindano kuna wengine walikuwa hawana ht habari nayo....jee uafuatilia Miss World, Miss Universe au hizi Awards za mastaa wa nje?
 
Ukiona hivyo ujue wakati huo umeshapita kwetu....hata wakati ule sisi tukifuatilia hayo mashindano kuna wengine walikuwa hawana ht habari nayo....jee uafuatilia Miss World, Miss Universe au hizi Awards za mastaa wa nje?
Ni kweli tumeshakuwa wahenga. Ila hayo mashindano tangu uncle Lundenga ajitoe; ni kama yamekosa hamasa fulani hivi. Wapenda entertainment wapo wengi sana; na wao bado wanalalamika mashindano yamepoteza mvuto. Ni kama BSS ya madam Ritha those days ikiwa yanarushwa ITV; siku hizi hadi nikutane na ka-clip ndiyo nakumbuka BSS bado ipo. Nje bado nafuatilia vitu vingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…