Lundenga unamuonea tu, marehemu ndio ilikuwa pigo zake hizo kawatafuna balaa na kuwatengenezea mazingira ya ushindi, kama huamini muulize pasco wa jfLundenga kawatembezea sana rungu la kipepe!! Mzee jau kweli yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lundenga unamuonea tu, marehemu ndio ilikuwa pigo zake hizo kawatafuna balaa na kuwatengenezea mazingira ya ushindi, kama huamini muulize pasco wa jfLundenga kawatembezea sana rungu la kipepe!! Mzee jau kweli yule
Marehemu yupi? Machache au??Lundenga unamuonea tu, marehemu ndio ilikuwa pigo zake hizo kawatafuna balaa na kuwatengenezea mazingira ya ushindi, kama huamini muulize pasco wa jf
We vipi, yule wa mawinguMarehemu yupi? Machache au??
😂😂😂 jasiri muongoza njiaWe vipi, yule wa mawingu
Huyo huyo, mcheki pasco akupe mastori mambo yalivyokuwa yakifanyika, jamaa alikuwa anatoa udhamini ili awe karibu na warembo wakiwa kambini then anapoint mmoja ole wake akatae, hata top ten haingii😂😂😂 jasiri muongoza njia
Katika vyote napenda vile anavyoongea kama anabembeleza 😁, ana sauti ya utulivu na upole sana, haichoshi kumsikilizaNargis wanaume wengi wanampenda, bwanaangu mwenyewe anampenda Nargis 😂
Mbiki na Angella 😁Mpambano mkali wa ma miss ilikua Miss Ilala..Mbiki Msumi na Hoyce Temu....kisha ukahamia tena Miss Tanzania..Mbiki tena na Hoyce Temu
Hahahahaha...zamani Miss Tanzania ilikua inatingisha haswaMbiki na Angella 😁
Nahisi hii ndio Miss Tz ya kwanza kuifahamu maana nakumbuka kuna siku nilitumwa kwenye ghetto la bro mmoja, nikakuta gazeti la walimbwende kalibandika ukutani. Nikawa nawashangaa 😁
Zamani Miss Tz ilikuwa big thing hadi familia zilikuwa zinakaa kusubiria final show ndio maana sikumbuki hata ya kwanza kuiangalia ni ipi, ila kwa akili na ufahamu wangu, show ya kwanza kuikumbuka clearly ni ya nancy sumari, miss Tz 2005
Huyu si aliolewaga na Kipanya? Mke wa pili baada ya Kipanya kutalikiana na yule binti wa mzee ChandeHuyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.View attachment 2963632View attachment 2963633
Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
Ila beauty standards zimebadilika pia bro. Enzi hizo english figure, cute faces, dimples, skin tonr na mwanya vilisumbua. Siku hizi bila haga, watu hawakuchukulii serious 😁Hahahahaha...zamani Miss Tanzania ilikua inatingisha haswa
Hahahahaha..siku hizi atokeee mtu afanye Miss Size Plus [ Miss Bantu ] atabamba sana😅😅😅Ila beauty standards zimebadilika pia bro. Enzi hizo english figure, cute faces, dimples, skin tonr na mwanya vilisumbua. Siku hizi bila haga, watu hawakuchukulii serious 😁
Yani kama millen magesse ndio angetoka leo, sidhani kama watu wangemzingatia kama enzi zake
Ukiona hivyo ujue wakati huo umeshapita kwetu....hata wakati ule sisi tukifuatilia hayo mashindano kuna wengine walikuwa hawana ht habari nayo....jee uafuatilia Miss World, Miss Universe au hizi Awards za mastaa wa nje?Ila miss Tz ya enzi zile ilikuwa 🔥🔥🔥. Siku hizi unashangaa tu miss Tz imeshafanyika; hatuna habari
Afu we Lamomy weweee..!!Lundenga kawatembezea sana rungu la kipepe!! Mzee jau kweli yule
Ni kweli tumeshakuwa wahenga. Ila hayo mashindano tangu uncle Lundenga ajitoe; ni kama yamekosa hamasa fulani hivi. Wapenda entertainment wapo wengi sana; na wao bado wanalalamika mashindano yamepoteza mvuto. Ni kama BSS ya madam Ritha those days ikiwa yanarushwa ITV; siku hizi hadi nikutane na ka-clip ndiyo nakumbuka BSS bado ipo. Nje bado nafuatilia vitu vingi tu.Ukiona hivyo ujue wakati huo umeshapita kwetu....hata wakati ule sisi tukifuatilia hayo mashindano kuna wengine walikuwa hawana ht habari nayo....jee uafuatilia Miss World, Miss Universe au hizi Awards za mastaa wa nje?
Harmonize asiione hii comment 😁Hahahahaha..siku hizi atokeee mtu afanye Miss Size Plus [ Miss Bantu ] atabamba sana😅😅😅
HahahahahaHarmonize asiione hii comment 😁
Si umelitaja "rungu" la Kipepe..!!Nimefanyeje ngali 😂😂😂
😂😂😂😂Si umelitaja "rungu" la Kipepe..!!