Nasubiria tu uzi madam, au hapa hapa? [emoji13]Kwahiyo boss jf kila mtu anashoboka siyo?
Naomba nikushobokee wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu humu ni double standardMbona hamna anaenidondokea hivi? Yaani mtaani lazima nitumie msuli hata humu hamna wa kunidondokea?
No comment.[emoji23][emoji23][emoji23]Mm Yemmie wangu nampendea tumacho twake tweupe tukubwa kiasi twa kisichana, Sura yake ya upole na angavu isiyochosha kutazama, kiuno chake cha wastani kilivyojikata kama kinu cha kutwangia viungo, mtoto figa figa kweli anayejua kudeka na kulingia figa lake, vilips vyake laini kama damu zilizoganda wanazokula wachaga zinazovutia kutazama na kuzila muda wote.. mtoto yemmie anarangi adhimu ya kibantu ya chocolate na gonzi yake laini kama anagea mafuta ya Sunola... kubwaa zaidi nimpendeacho she have beautiful and Bright mind inayomvutia kila mwanamume mwenye kujitambua
Kivipi?
Wewe nakufungulia ila kwa kingereza.Nasubiria tu uzi madam, au hapa hapa? [emoji13]
[/QUOTE][/QUOTE]Mm Yemmie wangu nampendea tumacho twake tweupe tukubwa kiasi twa kisichana, Sura yake ya upole na angavu isiyochosha kutazama, kiuno chake cha wastani kilivyojikata kama kinu cha kutwangia viungo, mtoto figa figa kweli anayejua kudeka na kulingia figa lake, vilips vyake laini kama damu zilizoganda wanazokula wachaga zinazovutia kutazama na kuzila muda wote.. mtoto yemmie anarangi adhimu ya kibantu ya chocolate na gonzi yake laini kama anagea mafuta ya Sunola... kubwaa zaidi nimpendeacho she have beautiful and Bright mind inayomvutia kila mwanamume mwenye kujitambua
Hahaha
Tunachezeanaa
Hahahah umeanza
Kwanini hukujilipua toka mwanzo mpk usubiri kudandia kwny ujasiri wa mtu mwingine!?😂Loke kommenti zangu tu babe. I love you
Babe Njoo PM tuongee vizuriKwanini hukujilipua toka mwanzo mpk usubiri kudandia kwny ujasiri wa mtu mwingine!?😂
Hata simjui mm ni Mkisiaji mzuri sana
Mmmhhh sio vizuriiNo comment.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kweli umekisia upo vizuriHata simjui mm ni Mkisiaji mzuri sana
True story.. waulize wazee wa uzii wa mapopo nilivyomkisia Mtani wangu malcom lumu.. ikawa kwel adi akapanic
Tunachezeanaa
Namimi nasema tuchezeane tuu.. Mtu mwenye akili timamu ukiws serious Sana humu utakufwaaHahahah umeanza
True story.. waulize wazee wa uzii wa mapopo nilivyomkisia Mtani wangu malcom lumu.. ikawa kwel adi akapanic
Nitachapwa mimi jamanii.. na huyu mrembo hapo juu