Nampenda sana Relief Mirzska

Nampenda sana Relief Mirzska

Mm Yemmie wangu nampendea tumacho twake tweupe tukubwa kiasi twa kisichana, Sura yake ya upole na angavu isiyochosha kutazama, kiuno chake cha wastani kilivyojikata kama kinu cha kutwangia viungo, mtoto figa figa kweli anayejua kudeka na kulingia figa lake, vilips vyake laini kama damu zilizoganda wanazokula wachaga zinazovutia kutazama na kuzila muda wote.. mtoto yemmie anarangi adhimu ya kibantu ya chocolate na gonzi yake laini kama anagea mafuta ya Sunola... kubwaa zaidi nimpendeacho she have beautiful and Bright mind inayomvutia kila mwanamume mwenye kujitambua
No comment.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[/QUOTE][/QUOTE]

Unamjua? Eti anaogea ya sunola.
Watu mna maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom