Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
We have a lot of wonders in our country.We should do the count down maana mwisho wa mwaka una mambo[emoji23].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We have a lot of wonders in our country.We should do the count down maana mwisho wa mwaka una mambo[emoji23].
We should do the count down maana mwisho wa mwaka una mambo[emoji23].
Dada upo huku [emoji4][emoji4]
Hahaha we ndio bwanaake nini
We have a lot of wonders in our country.
Kila la heri Bible.
Ila jaribu kuwa romantic kidogo basi maneno kama "ovyoooo, mfyuuuu'' hayajakaa kiheshima.
Bidada.Kila la heri Bible.
Ila jaribu kuwa romantic kidogo basi maneno kama "ovyoooo, mfyuuuu'' hayajakaa kiheshima.
Kumbe na wew ni -ke-??.Soon na mm nitakuja na id mpya ili mume wangu asijue nimfungulie mtu Uzi hahahahahahaha
Vipi mkuu...nimekaa kiume???Kumbe na wew ni -ke-??.
Duh ntakuja kuumbuk Umu ndan,anyway acha maisha yaendlee
Acha Mume anywe pombe tuu[emoji23][emoji23]Kasema amebadili ID ili bwana wake asimjue, bwana wake chapombe, anajua kama jamaa kaoa ila hajali, unategemea maneno ya heshima!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] for the time being they think wako sahihi.Hahahaha walau not all who wander are lost.
Id yako nikiiona naona kam na wew ni mwenzangu na mimi ninaekojoa nikiwa nimesimama mkuu kumbe nimewrongVipi mkuu...nimekaa kiume???
Hahahahahahaha ngoja nicheke kwanza...kumbe I'd imekaa kiume ume....Id yako nikiiona naona kam na wew ni mwenzangu na mimi ninaekojoa nikiwa nimesimama mkuu kumbe nimewrong
Nime...........Hahahahahahaha ngoja nicheke kwanza...kumbe I'd imekaa kiume ume....
Imekaa kiume ume...!!! MnhHahahahahahaha ngoja nicheke kwanza...kumbe I'd imekaa kiume ume....