Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
😍😍😍😍Kumpenda kama kupenda sidhani, sema huyo To yeye ni mtu mzima sidhani anayumbishwa na vijineno..
Angalau uvutiwe na mwandiko, ucheshi nk then omba mzoeane na kukutana..baada ya hapo unaweza kusema neno.
Mimi nilianza kuvutiwa na ukorofi wa Atoto, kumbe deep down she's amazing🤪