Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Haturidhikimbona nyie mnatuita ivo na tunatulia,,hua mnasema humu hakuna wanawake ni wanaume tu,, kwahiyo tumekubali mridhike😎🤏🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haturidhikimbona nyie mnatuita ivo na tunatulia,,hua mnasema humu hakuna wanawake ni wanaume tu,, kwahiyo tumekubali mridhike😎🤏🏾
Kwahiyo wewe umepata manzi JF ila hutaki mwenzako hutaki apateKumpenda kama kupenda sidhani, sema huyo To yeye ni mtu mzima sidhani anayumbishwa na vijineno..
Angalau uvutiwe na mwandiko, ucheshi nk then omba mzoeane na kukutana..baada ya hapo unaweza kusema neno.
Mimi nilianza kuvutiwa na ukorofi wa Atoto, kumbe deep down she's amazing🤪
Wanadhani ni rahisi.Wanahisi kumiliki mishale jambo dogo
Nimempa tips za kupata kitu kizuri mkuu.Kwahiyo wewe umepata manzi JF ila hutaki mwenzako hutaki apate
Aisee huu mtongozo hata mtongozwa hawezi kuamini 😂Nothing to hide here.
She's my everything the air I breathe my bread when am feeling hungry.
I will cross the ocean for her, I will go bring her the moon, al be her fortress tall and strong. And if there's a mountain to move I will move that mountain for her.
I dont fear death Am ready to give up my life for her.
For you To yeye
Tunajiwekaje kidume mkuu, humu mitandaoni ambako hatufahamiani mionekano unajuaje kwamba mtu anajiweka kidume, au mimi ndio sielewi vizuriMnajiweka kidume dume ila wengi naona wanajipromo wenyewe.
niumieDon't ruuuun
kwahiyo hua mnatujaribuHaturidhiki
Naomba kanitag huo uzi unaosema napendwa had mtu anashindwa kulala. WoiiiihshadrackAmri na The Stress Challengerr na The Mongolian Savage wana Uhusiana gani.
Yani wote hawa Watatu wameshindwa kulala.
Wamekuja JF "Kupenda" usiku usiku.
Wote kwa pamoja wameanzisha Threads zinazosema "Nampenda" aidha cocastic Nifah na To yeye pisi za Jamiiforums
[emoji848]
Nimepita tu humu.[emoji209]
Dogo acha porojo hakikisha usalama wa mbusii hapo malishoni.Mimi siigi. Nahisi maghayo ndio kani copy maana mimi nilishakuambia mda tu ilibaki kuanzisha uzi ndio kaniwahi
Huyo ni Maghayo na ID yake nyingineHumu ndani mmelogwa au..?
Huumii sana ni kidogo tu na huku unafurahiniumie
Bahari ya mafinga😂😂Mbona umeandika uongo huyu To Yeye ni mtu wa Mbeya sasa wewe unataka kuvuka bahari gani kumfuata 🤣🤣🤣
Yaaan ana mambo ya ajabu sana.Huyo ni Maghayo na ID yake nyingine
mxiuuu ebu kwenda uko naweweHuumii sana ni kidogo tu na huku unafurahi
Tuwajaribu ili iweje?kwahiyo hua mnatujaribu
Si kama hivyo mnavyojiita wakiume.Tunajiwekaje kidume mkuu, humu mitandaoni ambako hatufahamiani mionekano unajuaje kwamba mtu anajiweka kidume, au mimi ndio sielewi vizuri