Aww thanks 🥰 Mama inajitambua, but wow, you really know how to make a sister feel powerful 😂 and I see you’ve been taking notes… 🌚That's wht I thot, you the best and any serious person will see on all ya threads that "busara" imejazwa kwa huyu mama na anajitambua, hope ndio mana kijana kafika bei bila hata kukuona hahaha! Anaamini hapa atapata malezi and more..
Ujue kujilipua ni kazi kubwa sana ati! Just standing on his shoes with my psyche 😂😂💤
Ngoja niwe mpole 😂
Haha week ijayo zamu ya wanaume we subiri😁 Woii unangoja kutoka wapi? Ipeleke wewe🤣Hii wiki iliyoisha ni wewe tuu na ShesRise_1 ndio mnafunguliwa uzi, sasa mpewe nini?
Mimi nangoja posa ya ShesRise_1, niipeleke kwa Mshana Jr.
Kama wewe ulisema umeoa na saiv sa sita upo macho unaweza kinishawishi nini kuhusu issue ya ndoa😅Bora mkuu, cha peke yako hamna siku hizi. 😁
Ni utani tu mkuu ndio kwanza id naiona leo hiyo🫢Ila ikitokea watu wamependana kweli, wakayajenga yaka stawi itakuwa poa sana.
Mara boooom tunakuwa tunaona anniversaries tu!!
I wish you positively, mpenda na mpendwaji!
Hivi huyo E C ndio nani vile🤣Sema Mbaga Jr anataka cha peke yake, ndo shida ipo hapo. 😁
Au ngoja nisicoment, nipite tu huku polepole nikatokee kulee!
Chivundu habari yako?...
wasalimie wenzako, me ndo nakaribia mlango wa kutokea.
Huyu nishajua I'd yake nyingine 😅Nzuri sana Emily magnus , wenzangu akina nani mkuu? 😁
Who are you?🤔Aisseee asante kwa ujumbe murua na ulio chanya
Alafu huyo E C ndio nani😁Huyu nishajua I'd yake nyingine 😅
Gari kubwa zinakunywa sana mafuta😎Sasa chako peke yako kwa Seran ni impossible, mbio ndefu zile mita 800. 😊
Kama wewe ulisema umeoa na saiv sa sita upo macho unaweza kinishawishi nini kuhusu issue ya ndoa😅
Lolz 😂Yooo 😀😀😀
This joke is not joking! Abeg
May the right person locate you.
Mwanaume kukomaa bro hamna kukiri udhaifu hata kama Unajijua, askari ni yule anayefia vitaniMm mnyonge sitak mashindano, Nataka changu kiwe Changu mwnyw 😂
Haha week ijayo zamu ya wanaume we subiri😁 Woii unangoja kutoka wapi? Ipeleke wewe🤣
Mim niko pale nimekaa naangalia tuGari kubwa zinakunywa sana mafuta😎