Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Nimetoka hivi kitaa kucheki mechi ya USM Alger na ZAMALEK. Nafika hapa home msosi hamna, njaa inauma ile mbaya yaani. Nikaingia jikoni, nikaanza kuseti mazingira(kupika NGUNA). Sasa wakati uji unatokota nikashika simu, shwaah! Nikaingia jf moja kwa moja. Nikabahatika kuuona huu uzi. Nilivyovisoma humu ndani! Nikainaimisha kichwa, sijalia ila nimetoa mach....Nzuri sana Emily magnus , wenzangu akina nani mkuu?
Ngoja nisonge ugali nile, karibuni nyote.