Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Status
Not open for further replies.
Wewe zubaa tu hapo🤣
Shindii mashirima kanikataa imebidi ni fosi
20260424_125030.jpg
 
Unajaribu pale unapoona Kuna uwezekano.

Nishawahi kukesha kwenye migomba nasubiri kimeo miaka ya ninteen kweusi wkt nasoma boarding upo likizo binti anachungulia dirishani kila baada ya muda flani anadai subiri mdingi azimike ntatoka tu, mzee nilikula mbu wa kutosha tu na sikuambulia kitu hadi kunakucha! Na kulikuwa na manyunyu mzee hamna kukata tamaa na kipindi hicho unafukuzia demu miaka yote ya o'level mnakutana likizo tu village! Na bado mazingira magumu vilevile hadi likizo inaisha, unachukua warranty yako unasonga TRC mabehewa ya wanafunzi hadi term iishe tena

Siku hizi vijana mnarusha text msg tu na unaeleweka, sisi kipindi hicho unamwambia binti nakupenda anakujibu "mpende yesu" dah such amazing times nikiwakumbuka hawa wadada wa enzi hizo dah, wazee sasa naweza hata kuoa watoto wao 😛 😛
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom