Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwanini?hatari hii. wanasayans sijui madokta wanashaur weka sim mbali saa moja kabla ya kulala
Kwanini?hatari hii. wanasayans sijui madokta wanashaur weka sim mbali saa moja kabla ya kulala
Ndio wanalalamika sasa wanataka iwe kama zamani🤣Mtu anakufukuzia hadi anakuwa kero!! Ulikuwa utoto, sasa wamekua.
Acha uoga, pambana hadi kieleweke. Hakuna alozaliwa na mtu🤣Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.
Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.
Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya herufi ya kwanza la jina la kwanza ni E na herufi ya kwanza ya jina la mwisho ni C, adui wa kobazi JF
Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.
Kama sio muoaji maigizo ya nini? Ukute hawana hata future ndiomaana anaona ajiweke wazi tu!ndio, jifanye mshamba ili uonekane mali adimu na sio date ya kwanza tu unampangia mwanaume mastyle. asee ntabak namaswali meng
Kwani wao wako zamani au sasa? Wanatakiwa kwenda na muda.Ndio wanalalmika sasa wanataka iwe kama zamani🤣
Unamjaza ujinga mwenzio😆Acha uoga, pambana hadi kieleweke. Hakuna alozaliwa na mtu🤣
SijamboHujambo
Shindii karibu Chicken Noodle Soup😋Mashirima hana huo ujanja. Wewe ndio mwezi hausomi vyema.
Kijana aache uoga. Ikibidi akupende na bwanako🤣Unamjaza ujinga mwenzio😆
Ndio ushangae sasa! Ukijifanya wa zamani wanakupiga chini😆 mtu anakupa siku chache tu ukiwa unajivuta anapiga chini🫢Kwani wao wako zamani au sasa? Wanatakiwa kwenda na muda.
huenda ikawa si unajua hakili za usku mtu akiwa nyegez mwanza anajikuta karopoka kwa msukumoUmejuqje kama ana uhitaji na kama anazo ng’ombe huyu? Huyu anajifurahisha ukute yuko shule saa hizi
Eh sikomi na ishu gn tena mdada?We nawe hukomi?
Mkune huyo anayewashwa na kwoti yangu!!
Ndio manini hayo jamani🙆♂️🙆♂️Shindii karibu Chicken Noodle Soup😋
Na masponyo yote!🤣Kijana aache uoga. Ikibidi akupende na bwanako🤣
Eh mambo ya kuua mtu kisa nyapu ya mtu mwngn nalo n ungeseMaisha yamekuwa rahisi sana unaingia online tu unacopy mistari na kupaste,
Kutongoza ni sanaa ujue tulikuwa tunaimbisha ile mbaya ukifika sekondarini unaweza kutunga essay kwa mbwembwe zote yani, na kuna zile time mnaandikiana barua, na kupiga pafyumu ya Yolanda au Yu 😛
Na demu uliyetoil kumpata unamtunza ile mbaya, kuna jamaa aliua mwenzake Tabora miaka flani kwa ajili ya demu wote walikua o'level demu high school
Bado naangalia 🤣🤣Sasa mbona unapendwa na wengi itakuwaje Wog? Mpaka sasa umemchagua nani? 😹
Hahahaha kwakweli ni akili za usiku hizi!huenda ikawa si unajua hakili za usku mtu akiwa nyegez mwanza anajikuta karopoka kwa msukumo
Mambo chaaap kwa haraka kama sayansi na teknolojia, kisha tukafanye mengine ya msingi.Ndio ushangae sasa! Ukijifanya wa zamani wanakupiga chini😆 mtu anakupa siku chache tu ukiwa unajivuta anapiga chini🫢
Bora kwenda nao sambamba! Siku hiyohiyo sitaki au nataka!
MamboBado naangalia 🤣🤣
MWenye kisu kikali ndiye atakaekula nyama🏃😎
Kabisa. Hakuna kutia huruma.Na masponyo yote!🤣