min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Unaniaibisha shindii😅😅😅Ndio manini hayo jamani🙆♂️🙆♂️
Nipo nachemsha viazi vitamu.
Unaniaibisha shindii😅😅😅Ndio manini hayo jamani🙆♂️🙆♂️
Nipo nachemsha viazi vitamu.
Sasa huku bariadi hayo mambo nayajulia wapi mimi shindii🙆♂️🙆♂️Unaniaibisha shindii😅😅😅
Umeona?🤣Mambo chaaap kwa haraka kama sayansi na teknolojia, kisha tukafanye mengine ya msingi.
Poa mbagaMambo
Jizime dataEh sikomi na ishu gn tena mdada?
Ndio ndio🤣Umeona?🤣
Sijambo, shikamooPoa mbaga
Hujambo
Duh em ngoja niwe mpoleJizime data
Hahaha kula tu ng'ande ya choroko shindiiSasa huku bariadi hayo mambo nayajulia wapi mimi shindii🙆♂️🙆♂️
Eh mambo ya kuua mtu kisa nyapu ya mtu mwngn nalo n ungese
Upuuzi huuJamaa alilost aisee na alifia gerezani kabla hata hajahukumiwa, unajua miaka ile ukiwa mountain bike unazuka tu Uyui, Gals, Mihayo, Mirambo kila demu anajilengesha so akaja kumpata huyo anaitwa Zakia nakumbuka wa Mihayo then akawachanganya wa Uyui (mwenye bike) na wa Boys mzee wakatafutana siku kuna mechi boys mpira umeisha tu wakadungana visu na wote wakamkosa Zakia mmama leo hii na jamaa wote RIP wakiwa fomfoo tu
Mno Wanaona aibu tu bwasheeJamaa alilost aisee na alifia gerezani kabla hata hajahukumiwa, unajua miaka ile ukiwa mountain bike unazuka tu Uyui, Gals, Mihayo, Mirambo kila demu anajilengesha so akaja kumpata huyo anaitwa Zakia nakumbuka wa Mihayo then akawachanganya wa Uyui (mwenye bike) na wa Boys mzee wakatafutana siku kuna mechi boys mpira umeisha tu wakadungana visu na wote wakamkosa Zakia mmama leo hii na jamaa wote RIP wakiwa fomfoo tu
Tufurahie wakati uliopo tu, hakuna haja ya kujipa hizo stressUmeamua kujianzishia uzi baada ya kuona piemuni hamna kitu
Mtoa mada na mtolewa mada ukute ni nafsi moja iliyonyumbulika
Seran tupe mrejesho mwanaume mwenzetu kakuelewa, tutampoteza ukimkataa vg
SawaTufurahie wakati uliopo tu, hakuna haja ya kujipa hizo stress
Mi nawaombea kwa Mungu mfike mbali msiishie comment section.Wapi mwanangu viazi tu!
Mnapenda vibibi vijana kuweni makini wengine wanaume wenzenu humu@Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo