Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Status
Not open for further replies.
Seran wewe ni zabibu na muhibu
Wewe ni upendo na mrembo.

Tafadhari nipe nafasi hata tufahamiane, unijue.

Kama kweli haupo na bwana yule mwenye majina ya initials ya herufi ya kwanza la jina la kwanza ni E na herufi ya kwanza ya jina la mwisho ni C, adui wa kobazi JF

Maana nawaona mkicheka kila post pamoja na inaniuma sana.

Hivi ni nani huyu mwana JF anayemuongelea 😂😂😂😂
Eti Shemej Seran
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom