Nampenda Sky Eclat

Nampenda Sky Eclat

Huyu sisteri yupo vizuri sana kichwani.
Huwa nakutana naye kwenye mijadala yetu kule Jamii Forum Palace.
 
Sasa si umfuate PM ukamwambia ukitangaza huku haitosaidia halafu unampenda kwa Upendo wa aina gani

Kirafiki
Kimapenzi
Kifamilia
Kiubinadamu n.k
Ndugu we mwenyewe si unajua kuwa wasichana hawajibugi Pm?

Nampenda kindugu!
 
Back
Top Bottom