Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kama kueleweka tofauti kuna kuzaa matunda usiogope unakuwa umetumia jiwe moja kuua ndege wawiliNahofia kueleweka tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kueleweka tofauti kuna kuzaa matunda usiogope unakuwa umetumia jiwe moja kuua ndege wawiliNahofia kueleweka tofauti
Sina mume humu ila nina wachumba kibaoooo Bado nawafanyia utafitinawew Mr wako nani
Nayo ni sifa asanteKwa mdomo huo hana mtu huyo mkuu anazagaa tu.
Hahahaha... Dada unawafanyia utafiti ugundue jambo gani?Sina mume humu ila nina wachumba kibaoooo Bado nawafanyia utafiti
Utafiti muhimu nisije pata nungaembe mkuuHahahaha... Dada unawafanyia utafiti ugundue jambo gani?
Kinyume cha sifa ni Kashafa.Nayo ni sifa asante
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Kinyume cha sifa ni Kashafa.
Mim choice kapeace mtupuuuYap ni mdada mmoja Poa sana, ila ana Mr wake humu bahati nzuri umejiwahi mapemaaa
Ila nahisi kuna watu watanielewa tofauti aisee!
[emoji106] [emoji120] [emoji120]Mim choice kapeace mtupuuu
Naongeza nyama nyama espy, lasagna, princess ariana
Kwa hio???sure man....mana kuna nyuzi za 2012 zlikua znamuongelea kida waziri na uyo esclat alikua anatia neno....na uyo esclat comment zake anaonekana wa kitamboo...mana ni mambo ya miaka yaa 90 katka hali ya ujana wake
Ahsante kiongoziCongratulation Babu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
mi mwenyewe nmekubali kua lazma atakua na baeSky sio wa kukosa bwana kwa tabia zake zinavyojidhihirisha kimwandiko
xna shaka utakua msandawe au muhadzabe weweKwa hio???
Pambana na hali yako.
Amina