Ndo nashangaa hapa best.tatty njoo huku, kuna jasiri kamwaga ya moyoni huku!
Asante. Ila sidhani kama ni kweli upo tayari kwa lolote.Nina miaka takribani 8 hapa JamiiForums nimejifunza mengi na nashukuru sana kuwa member hapa.
Nimekutana na baadhi ya watu na wengine tumefanya nao biashara bila usumbufu wowote. Kuna mwanamke humu jukwaa anaitwa tatty nimempenda sana kwa kweli.
Ni mzuri, mcheshi na mkarimu sana, ameniambia hata yeye ananipenda ila sijaamini na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).
Natangaza rasmi kwamba nampenda sana na nipo tayari kwa lolote.
tatty naomba unijibu tafadhali maana PM sijaamini kwamba unanipenda kweli.
LOVE U SO BIG my gal.
asee,si mchezoHa ha haaaaaaaaa nimecheka.
hahahaahahaha,mpe NAFASI kijana yuko TAYARI KWA LOLOTEAsante. Ila sidhani kama ni kweli upo tayari kwa lolote.
Nina miaka takribani 8 hapa JamiiForums nimejifunza mengi na nashukuru sana kuwa member hapa.
Nimekutana na baadhi ya watu na wengine tumefanya nao biashara bila usumbufu wowote. Kuna mwanamke humu jukwaa anaitwa tatty nimempenda sana kwa kweli.
Ni mzuri, mcheshi na mkarimu sana, ameniambia hata yeye ananipenda ila sijaamini na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).
Natangaza rasmi kwamba nampenda sana na nipo tayari kwa lolote.
tatty naomba unijibu tafadhali maana PM sijaamini kwamba unanipenda kweli.
LOVE U SO BIG my gal.
...................................Ndo nashangaa hapa best.
Ha ha ha mupenzi upo? Hataweza namuonea hurumahahahaahahaha,mpe NAFASI kijana yuko TAYARI KWA LOLOTE
niko,nakuangalia TU,la freshHa ha ha mupenzi upo? Hataweza namuonea huruma