Nampenda Tatty

Nampenda Tatty

wamefika MUAFAKA
Umeonaaaa eehhhhh. angalia last post ya baby wako. Umekwisha
hahahaahahahaha...mkuu huu MZIKI MNENE,tatty mwenyewe anaujua na kuukubali,sema hii mmmh,imekula KWANGU
umeona eehhhhhhhh, vumilia. Kuna msemo wa kizungu unasema '' If you you lov something set it free,if it will come to you its yours, iotherwise it doesn't meant to be.''
 
Umeonaaaa eehhhhh. angalia last post ya baby wako. Umekwisha

umeona eehhhhhhhh, vumilia. Kuna msemo wa kizungu unasema '' If you you lov something set it free,if it will come to you its yours, iotherwise it doesn't meant to be.''
we nipe MOYO tu,ila hii ndio hivyo tena,KUTESA kwa ZAMU
 
kuumbwa mwanaume mateso. Maisha yako yanakuwa full kujilipua. Tatty msikize mwana wa mwanamke mwenzio.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
mods wekeni jukwaa la kutongozana maana mapenzi popote
 
Nimeshamsikiliza mkuu. Vikao vinaendelea...
Tatty bby it's you again, nilishakwambia tatty nakupenda japo sijawahi kukuona lakini hisia zangu zanionyesha utakuwa u mrembo kigoli, achana na huyo anaejipendekeza njoo kwangu tatty sweetbby. Nitafanyaje nikuone tatty? Popote nitakuja tatty bby!
 
Embu acheni kumshawishi mke wa mtu kuchepuka... Huu jamaa inabidi akemewe na ashindwe..
 
Back
Top Bottom