Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
Hapo ni pakuchunga sana. Tusije tukakupoteza.na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni pakuchunga sana. Tusije tukakupoteza.na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).
Mhh!!!??Nina miaka takribani 8 hapa JamiiForums nimejifunza mengi na nashukuru sana kuwa member hapa.
Nimekutana na baadhi ya watu na wengine tumefanya nao biashara bila usumbufu wowote. Kuna mwanamke humu jukwaa anaitwa tatty nimempenda sana kwa kweli.
Ni mzuri, mcheshi na mkarimu sana, ameniambia hata yeye ananipenda ila sijaamini na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).
Natangaza rasmi kwamba nampenda sana na nipo tayari kwa lolote.
tatty naomba unijibu tafadhali maana PM sijaamini kwamba unanipenda kweli.
LOVE U SO BIG my gal.
Nikiwa malaya kuna tatizo lolote kwa upande wako?Basi utakuwa malaya wewe na sio bure. ukalimu idara zote? simple minded girl
Hilo sijaona popote aliposema.Na hilo la 0713?
Haaaaaaaa! huyo si muuza supu hapo Tandale?
Unashangaa nini bana jibu swali umeolewa au ulimdanganya mkakaNdo nashangaa hapa best.
Hahahaa jamaa una kazi sana hapaNafasi ipo lakini vigezo na masharti vizingatiwe
Nakuona ujue. Endelea tu!Ha ha ha mupenzi upo? Hataweza namuonea huruma
halafu nikishaiona, kwa hiyo Jimena mimi hunipendi, dah! poa bhanaaino peterchoka na Warren T
ibra87 tunachunguzana kwanzamiss chagga kuna mtu anauliza swali huku...tupo hapa mkuu
hahahaha. .....hapo umetisha sanaaaMimi mwenyewe Nina sample nyingi akibadilisha gia mi naingiza gia
haya bhanandio uache kumfuatilia kwa kuwa ni mke wangu mtarajiwa