Nampenda Tatty

Nampenda Tatty

Nina miaka takribani 8 hapa JamiiForums nimejifunza mengi na nashukuru sana kuwa member hapa.

Nimekutana na baadhi ya watu na wengine tumefanya nao biashara bila usumbufu wowote. Kuna mwanamke humu jukwaa anaitwa tatty nimempenda sana kwa kweli.

Ni mzuri, mcheshi na mkarimu sana, ameniambia hata yeye ananipenda ila sijaamini na mbaya zaidi anasema ameolewa (nimeumia).

Natangaza rasmi kwamba nampenda sana na nipo tayari kwa lolote.

tatty naomba unijibu tafadhali maana PM sijaamini kwamba unanipenda kweli.

LOVE U SO BIG my gal.
khaaa unatafuta watu maneno asee unaweza kuta mko 100 maana jf imekuwa kisima cha mahabat siku hizi pm km kina invisible wanasoma naona wanajifaidia saaaaana
 
Back
Top Bottom