miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
NANI amekuambia upite huku jamanihahahaha. .....hapo umetisha sanaaa
Ndo maana hata cm hupokei kumbe umepata mwingine bhana, poa tuMimi mwenyewe Nina sample nyingi akibadilisha gia mi naingiza gia
Mpe jibu bana..Kujilipua hivi si mchezo ujueHa ha haaaaaaaaa nimecheka.
Ndiyo mana take unavyoniletea pozi na habari zako za sina hela siwez vumilia aiseeNdo maana hata cm hupokei kumbe umepata mwingine bhana, poa tu
Mara ya mwisho uliomba 2ml nkakwambia sina ninazo 1ml ulipochukua ndo ulichukia jamanNdiyo mana take unavyoniletea pozi na habari zako za sina hela siwez vumilia aisee
hahaha. ....nimejuuuta kupita huku...kwaheri siji tenaaaNANI amekuambia upite huku jamani
Tatizo lipo kwani mwisho wa siku utamuuzia hadi babako mzazi, halafu atazaliwa mtoto ambae kishalaaniwa a.k.a panya road hivyo kusababisha vibaka mitaaniNikiwa malaya kuna tatizo lolote kwa upande wako?
Dont take things seriously mkuu. This is chitchat.Tatizo lipo kwani mwisho wa siku utamuuzia hadi babako mzazi, halafu atazaliwa mtoto ambae kishalaaniwa a.k.a panya road hivyo kusababisha vibaka mitaani
I love you too baby wangeeee.Afadhali nimekuona sura yako tatty, wakuache!!!! You're beautiful, nakupenda tatty bby hata kama utakuwa umeolewa,sitakutenda vibaya mie na sitathubutu. Lakini nakuomba uwe wangu daima sweetie. Jiulize, niliamini utakuwa mrembo hata kabla sijakuona. And today I have revealed my believing. Love u tatty bby.
TobaaaaI love you too baby wangeeee.
Kwa herihahaha. ....nimejuuuta kupita huku...kwaheri siji tenaaa
Huyu hapa taty mwenyewePichaz plz
Picha yangu kumbe bado unayo shosti? Ha ha haaaHuyu hapa taty mwenyeweView attachment 325458
Ha haa maktaba yangu iko vizuri shostiePicha yangu kumbe bado unayo shosti? Ha ha haaa