Nampenda Tatty

Nampenda Tatty

Nikiwa malaya kuna tatizo lolote kwa upande wako?
Tatizo lipo kwani mwisho wa siku utamuuzia hadi babako mzazi, halafu atazaliwa mtoto ambae kishalaaniwa a.k.a panya road hivyo kusababisha vibaka mitaani
 
Afadhali nimekuona sura yako tatty, wakuache!!!! You're beautiful, nakupenda tatty bby hata kama utakuwa umeolewa,sitakutenda vibaya mie na sitathubutu. Lakini nakuomba uwe wangu daima sweetie. Jiulize, niliamini utakuwa mrembo hata kabla sijakuona. And today I have revealed my believing. Love u tatty bby.
 
I love you too baby wangeeee.
 
Pichaz plz
Huyu hapa taty mwenyewe
1456391244976.jpg
 
Back
Top Bottom