Yani jamaa kapenda sura yako feki uliyoweka jf. Fanya kumpm sura yako halisi basiHa ha haaaaaaaaa nimecheka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani jamaa kapenda sura yako feki uliyoweka jf. Fanya kumpm sura yako halisi basiHa ha haaaaaaaaa nimecheka.
Alisha i pm...Yani jamaa kapenda sura yako feki uliyoweka jf. Fanya kumpm sura yako halisi basi
MhHuyu hapa taty mwenyeweView attachment 325458
Hebu tuioneAlisha i pm...
Mwambie ani pm namba yakeNina kichwa cha panzi ujue
Ha ha haaaaaaaaa nimecheka.
Huu uzi umeniibua kutoka machakani, ujambo tatty?
The Woman I Love.
I Won't Give Up.
I Do Not Want To Miss A Thing.
[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] peace n loveTatty ni mtu anayeheshimu culture[ kijiti] utamuweza?
Yes yesTatty, tatty!
Hivyo vigezo na mashart!Yes yes
Ni private. Nimeshampa tayari ameshindwa.Hivyo vigezo na mashart!
Kazi yoyote ukishakuwa mzoefu haisumbui, lakini cha zaidi ninavyo vibali vyote kwa ajili ya kazi hii ya mkaa kuanzia kukata miti na kuchoma kisha kusafirisha.Umewezaje kuwapita askali na maliasili na mzigo wote huo was mkaa hadi Dar?
Hiyo mkaa ni dili nilishagalitolea macho. Ilikua nichome kwa gharama ya 13.000 then nikauze kwa 40.000 duh ila nilivoenda ofisi ya maliasili vitu wslivyoorodhesha nikashangaa faida ya mkaa iko Wapi..nikagundua ili ufaidike inabidi uifanye kwa dili. Nilipotaka kujaribu kupiga dili Kesho yake tu jamaa akakamatwa na semi trailer imejaa mkaa tegeta. Kwamba ni kesi inayohusu wizi wa nyara za serikali nikaona duh hii sasa hii kivumbi hii na mie navoogopaga jela dah nikaahirisha hiyo biashara. Ilikua nichomee moro huko then nishike masoko ya kufa m2 Dar. Dah nilishaseti kila kitu mara kesho yake nasoma mwananchi roli limekamatwa na mkaa tegeta tena ikaongelewa kama kosa kubwa sana nikapiga picha ya harufu ya jela nikaona isiwe tabu maana nshawahi kuswekwa rumande siku moja asubuhi hadi jioni kasheshe ya mazingira ya rumande ni kivumbi kuna nuka afu kunguni wanangata kinoma dah nikajiuliza sasa hii siku moja tu hivi je ukipewa miaka kadhaa jela inakuaje. Kwakweli fursa za biashara ziko nyingi ambazo ukizipiga unakua tajiri fasta ila sasa biashara za kukufanya utajirike fasta from nowhere nazo zinaambatana sana mambo ya jela hapo ndo tabu inapokuja.Kazi yoyote ukishakuwa mzoefu haisumbui, lakini cha zaidi ninavyo vibali vyote kwa ajili ya kazi hii ya mkaa kuanzia kukata miti na kuchoma kisha kusafirisha.
Kuna changamoto ndogo ndogo za Askari kutaka kupewa pesa kidogo.