Nampenda Tatty

Nampenda Tatty

Nipo tatty ila kwa miezi kadhaa nimekuwa porini nachoma mkaa, jana ndiyo nimeingia Dar City, ninao mzigo mwingi sana.

Ile nafungua Jf nakutana na Nampenda tatty, laulaaah..... lakini najiamini.
Umewezaje kuwapita askali na maliasili na mzigo wote huo was mkaa hadi Dar?
 
Umewezaje kuwapita askali na maliasili na mzigo wote huo was mkaa hadi Dar?
Kazi yoyote ukishakuwa mzoefu haisumbui, lakini cha zaidi ninavyo vibali vyote kwa ajili ya kazi hii ya mkaa kuanzia kukata miti na kuchoma kisha kusafirisha.

Kuna changamoto ndogo ndogo za Askari kutaka kupewa pesa kidogo.
 
Kazi yoyote ukishakuwa mzoefu haisumbui, lakini cha zaidi ninavyo vibali vyote kwa ajili ya kazi hii ya mkaa kuanzia kukata miti na kuchoma kisha kusafirisha.

Kuna changamoto ndogo ndogo za Askari kutaka kupewa pesa kidogo.
Hiyo mkaa ni dili nilishagalitolea macho. Ilikua nichome kwa gharama ya 13.000 then nikauze kwa 40.000 duh ila nilivoenda ofisi ya maliasili vitu wslivyoorodhesha nikashangaa faida ya mkaa iko Wapi..nikagundua ili ufaidike inabidi uifanye kwa dili. Nilipotaka kujaribu kupiga dili Kesho yake tu jamaa akakamatwa na semi trailer imejaa mkaa tegeta. Kwamba ni kesi inayohusu wizi wa nyara za serikali nikaona duh hii sasa hii kivumbi hii na mie navoogopaga jela dah nikaahirisha hiyo biashara. Ilikua nichomee moro huko then nishike masoko ya kufa m2 Dar. Dah nilishaseti kila kitu mara kesho yake nasoma mwananchi roli limekamatwa na mkaa tegeta tena ikaongelewa kama kosa kubwa sana nikapiga picha ya harufu ya jela nikaona isiwe tabu maana nshawahi kuswekwa rumande siku moja asubuhi hadi jioni kasheshe ya mazingira ya rumande ni kivumbi kuna nuka afu kunguni wanangata kinoma dah nikajiuliza sasa hii siku moja tu hivi je ukipewa miaka kadhaa jela inakuaje. Kwakweli fursa za biashara ziko nyingi ambazo ukizipiga unakua tajiri fasta ila sasa biashara za kukufanya utajirike fasta from nowhere nazo zinaambatana sana mambo ya jela hapo ndo tabu inapokuja.
 
Back
Top Bottom