Nampenda Trump Ila anaboa Sana ni mwoga wa Vita salute kwa Benjamin Netanyahu

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
3,861
Reaction score
9,909
Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa

Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka

Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita

Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve kumwomba Trump awaambie Israel asimamishe kushambulia

inaboa na anaboa

Mwangalie Pm Benjamin Netanyahu hacheki na wale ******* magaidi ya Iran anayafukia tu kwenye vifusi

Inawezekana kabisa Trump hajui middle East na hajui tabia za magaidi

ingekuwa combined ya Gorge Bush na netanyau utawala dhalimu wa kigaidi ungeshaanguka

Trump ameanza kuboa kuanzia hotuba Hadi post zake anacheza mchezo wa magaidi

Aache kuibana Israel aache awakojoleshe Hawa magaidi
 
Mzee kawa kichwa ngumu kuamini kwamba ataweza kuwashawishi IRGC kusaini deal. hicho ni kitu ambacho hakiwezekani na hata wakisaini ni kuzuga tu, watamsubiri aondoke wataendelee walipoishia.

Inaonekana anataka kuthibitisha kwamba yeye ni master wa negotiation na bargaining. Tangu zamani amekuwa akijisifia kama mtu anayejua kufanya deals, ana kitabu chake The Art of the Deal.

1780941117864.png
 
Siasa za US ni tofauti na Israel... historia, uchumi na kila nyanja wapo tofauti..

Hata Netanyahu angekuwa US asingekuwa anajichukulia maamuzi kama afanyavyo hapo Israel..

Kingine US na Israel wote wamefeli kwenye hii vita..
 
Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa

Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka

Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita

Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve kumwomba Trump awaambie Israel asimamishe kushambulia

inaboa na anaboa

Mwangalie Pm Benjamin Netanyahu hacheki na wale ******* magaidi ya Iran anayafukia tu kwenye vifusi

Inawezekana kabisa Trump hajui middle East na hajui tabia za magaidi

ingekuwa combined ya Gorge Bush na netanyau utawala dhalimu wa kigaidi ungeshaanguka

Trump ameanza kuboa kuanzia hotuba Hadi post zake anacheza mchezo wa magaidi

Aache kuibana Israel aache awakojoleshe Hawa magaidi
Bilashaka sio mwoga bali kashikwa pabaya.
 
Siasa za US ni tofauti na Israel... historia, uchumi na kila nyanja wapo tofauti..

Hata Netanyahu angekuwa US asingekuwa anajichukulia maamuzi kama afanyavyo hapo Israel..

Kingine US na Israel wote wamefeli kwenye hii vita..
Natamani Iran wawashe mote kipindi hiki cha world cup. Najua Trump anataka madhindano haya yafanyike kwa utulivu kisha baadaye aanzishe tena chokochoko.

Napenda kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia pamoja na kudinyana kwa Iran, Marekani, na Israel kwa wakati mmoja.
 
Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa

Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka

Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita

Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve kumwomba Trump awaambie Israel asimamishe kushambulia

inaboa na anaboa

Mwangalie Pm Benjamin Netanyahu hacheki na wale ******* magaidi ya Iran anayafukia tu kwenye vifusi

Inawezekana kabisa Trump hajui middle East na hajui tabia za magaidi

ingekuwa combined ya Gorge Bush na netanyau utawala dhalimu wa kigaidi ungeshaanguka

Trump ameanza kuboa kuanzia hotuba Hadi post zake anacheza mchezo wa magaidi

Aache kuibana Israel aache awakojoleshe Hawa magaidi
Hahaha uko shallow sana kwenye mambo ya geopolitics.. Ni sawa kuona watu wakigombea daladala halafu useme kwanini hawaendi na Benz?
 
Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa

Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka

Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita

Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve kumwomba Trump awaambie Israel asimamishe kushambulia

inaboa na anaboa

Mwangalie Pm Benjamin Netanyahu hacheki na wale ******* magaidi ya Iran anayafukia tu kwenye vifusi

Inawezekana kabisa Trump hajui middle East na hajui tabia za magaidi

ingekuwa combined ya Gorge Bush na netanyau utawala dhalimu wa kigaidi ungeshaanguka

Trump ameanza kuboa kuanzia hotuba Hadi post zake anacheza mchezo wa magaidi

Aache kuibana Israel aache awakojoleshe Hawa magaidi
Mimi mwenyewe DT mwanangu ila kaanza kunibooa
 
Back
Top Bottom