Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Bilashaka sio mwoga bali kashikwa pabaya.Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa
Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka
Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita
Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve kumwomba Trump awaambie Israel asimamishe kushambulia
inaboa na anaboa
Mwangalie Pm Benjamin Netanyahu hacheki na wale ******* magaidi ya Iran anayafukia tu kwenye vifusi
Inawezekana kabisa Trump hajui middle East na hajui tabia za magaidi
ingekuwa combined ya Gorge Bush na netanyau utawala dhalimu wa kigaidi ungeshaanguka
Trump ameanza kuboa kuanzia hotuba Hadi post zake anacheza mchezo wa magaidi
Aache kuibana Israel aache awakojoleshe Hawa magaidi
Natamani Iran wawashe mote kipindi hiki cha world cup. Najua Trump anataka madhindano haya yafanyike kwa utulivu kisha baadaye aanzishe tena chokochoko.Siasa za US ni tofauti na Israel... historia, uchumi na kila nyanja wapo tofauti..
Hata Netanyahu angekuwa US asingekuwa anajichukulia maamuzi kama afanyavyo hapo Israel..
Kingine US na Israel wote wamefeli kwenye hii vita..
Hahaha uko shallow sana kwenye mambo ya geopolitics.. Ni sawa kuona watu wakigombea daladala halafu useme kwanini hawaendi na Benz?Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa
Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka
Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita
Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve kumwomba Trump awaambie Israel asimamishe kushambulia
inaboa na anaboa
Mwangalie Pm Benjamin Netanyahu hacheki na wale ******* magaidi ya Iran anayafukia tu kwenye vifusi
Inawezekana kabisa Trump hajui middle East na hajui tabia za magaidi
ingekuwa combined ya Gorge Bush na netanyau utawala dhalimu wa kigaidi ungeshaanguka
Trump ameanza kuboa kuanzia hotuba Hadi post zake anacheza mchezo wa magaidi
Aache kuibana Israel aache awakojoleshe Hawa magaidi
Mimi mwenyewe DT mwanangu ila kaanza kunibooaKm Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa