luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Wewe unajua ni mapadre wangapi walio huko ? Ninekwambia hakuna Jimbo lenye mapadre WA shirika kuzidi MoshiHao mapadre wenu ni low quality ndo maana hawatambi katika kanisa katoliki...na skendo nyingi za mapadre tz ni hao hao kutoka moshi akiwemo yule aliyelawiti watoto zaidi ya kumi...
Bukoba mapadre ni wengi na high quality...wamesukwa haswa...ndo maana wanazidi kurise kama mabalozi wa papa, kardinali nk...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Eti mapadre ni WA low quality?
Askofu rogath kimario WA same alikuwa Vatican aliteuliwa uaskofu kutoka upadre
Askofu Beatus urasa WA Jimbo sumbawanga alikuwa padre ujerumani akateuliwa mojakwamoja kuwa askofu hiyo ni mifano tu