Nampongeza dada huyu kwa jinsi alivyochagua mume wa kumuoa na kumuacha mchumba wake wa zamani

Ila hakika wanaume tunaumiza sana mabinti either kwa kudhamiria au kwa kuchukulia mambo poa tu. Women are delicate creatures, they need tender care!! Ila nataka kusema kuwa kama hujaiweka namba ya mpenzi wako/mchumba au mke/mume kichwani na kama hakika una kichwa kizuri cha kushika namba basi jua mapenzi ya dhati hayapo!! Je kama hukumbuki namba yake ya simu unayowasilina naye kila siku je utakumbuka Birthday yake? Kwa hakika mtihani wangu wa kwanza kwa mwenza wangu ulianza pale ambapo hata namba za TTCL enzi zile anazishika kwa kichwa. So do I.
 
Big up kwa uhamuzi wa busara coz mapenz sio pesa wala utanashati. Pesa na utanashat/urembo vitakuja kama wapendanao watajishughulisha

Jitahidi kusoma sana,ujue usahihi wa kuandika maneno.
 
Ukiona mawasiliano ya simu au kivingine yanapungua taratibu jua mapenzi yanaporomoka kwa kasi na hapo ni signal kuwa jiandae kwa lolote!!! Sure nikiona nimpendaye anapunguza speed na kila nikimuuliza hana jibu la maana basi huwa sichelewi!! Nakata wire kabisa! Hakuna kupoteza muda na mtu asiyekujali, na katika maisha usitake kujiombea kwa mtu, that is mapenzi hayalazimishwi!! Hongera dada ulijishika na Polipoli lako!! Shida zinafanya watu hata sura inafifia na mambo yakikaa sawa financially wanang'aaa!!!
 
:A S angel::A S angel::A S angel::A S angel::A S angel::A S angel::A S angel::A S angel::A S angel:
 
Ukiona mawasiliano ya simu au kivingine yanapungua taratibu jua mapenzi yanaporomoka kwa kasi na hapo ni signal kuwa jiandae kwa lolote!!! Sure nikiona nimpendaye anapunguza speed na kila nikimuuliza hana jibu la maana basi huwa sichelewi!! Nakata wire kabisa! Hakuna kupoteza muda na mtu asiyekujali, na katika maisha usitake kujiombea kwa mtu, that is mapenzi hayalazimishwi!! Hongera dada ulijishika na Polipoli lako!! Shida zinafanya watu hata sura inafifia na mambo yakikaa sawa financially wanang'aaa!!!

Kweli kbsa mkuu,eti unapiga simu na kutuma SMS kimyaa jibu hupati..ukija kuuliza kwann kimya..ooh simu aliishika mtoto akatoa missed call halafu msg sikuwa na hela ya kujibu..to hell.
 
pendeni mapolipoli. waacheni watanashati waendelee kuuza sura
 
mmmh sijui mpolipoli nani vile. Maana wahadhiri wa pale ju wapolipoli tu wengi. Na tulioko kwenye ndoa miaka kumi nami mmoja wao. Mleta mada huyo mpolipoli anafundisha college gani.
 
Dot com generation hatupendi hadithi hadithi tunataka vitendo,,, mambo ya upori pori sijui uhadhiri peleka kijijini.. Mjini pesa tabia kijijini...

Let's me get ready for sweet 16.. Can't wait to see Gators advance to final four

Ila yana mwisho hayo
 
Ukiona mawasiliano ya simu au kivingine yanapungua taratibu jua mapenzi yanaporomoka kwa kasi na hapo ni signal kuwa jiandae kwa lolote!!! Sure nikiona nimpendaye anapunguza speed na kila nikimuuliza hana jibu la maana basi huwa sichelewi!! Nakata wire kabisa! Hakuna kupoteza muda na mtu asiyekujali, na katika maisha usitake kujiombea kwa mtu, that is mapenzi hayalazimishwi!! Hongera dada ulijishika na Polipoli lako!! Shida zinafanya watu hata sura inafifia na mambo yakikaa sawa financially wanang'aaa!!!

Nakubaliana na wewe Mkuu..!
 
Back
Top Bottom