Nampongeza mmiliki Singida Fountain Gate FC kwa basi jipya la timu

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao.

Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani.

Sasa msimu ujao ubingwa ni wetu.

9E06F90C-726C-4A1C-8103-BA7A597D2277.jpeg
 
Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao.

Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani.

Sasa msimu ujao ubingwa ni wetu
View attachment 2706446
Kwahyo hili bus linacheza namba ngapi uwanjani?

Waulize azam
 
Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao.

Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani.

Sasa msimu ujao ubingwa ni wetu
View attachment 2706446
Tozo zetu hizo
 
Wameweza kuweka nembo mpya kwenye basi ila kwenye jezi mpya walitumia nembo ya SBS. Nyuma ya hii timu kuna ukakasi sana, yule bwana ni chambo tu
Singida big stars na fountain gate ni vitu viwili tofauti kilichowafanya waungane ni kwamba Caf champions league hawaruhusu team ambayo haina team ya wanawake inayoisimamia kushiriki kwenye Caf champions league kwa hyo kilichofanyika ni kusitiriana tu kama ilivyotekea mgunda na simba kwasababu fountain gate wao wana team ya wanawake ila singida big stars hawakuwa nayo mwisho wa kunukuu
 
Nayajua yote hayo ila taarifa rasmi iliyotolewa ni kuwa zimeungana kikamilifu na SBS haipo tena. Sasa inakuwaje baada ya hapo nembo ya kwenye jezi inaonyesha nembo ya zamani ya SBS. Anyway, nadhani labla mzabuni hakuwa na chapa mpya ya lebo ya kuweka, labla watakuwa wamelirekebisha.
 
Napenda kumpongeza mmiliki wa timu yangu ya Singida fountain gate kwa kutuwezesha kupata basi jipya la kisasa ambalo litatusaidia katika safari mbalimbali katika msimu ujao.

Ikumbukwe basi lile la zamani lilikuwa linafanya wachezaji wanachoka sana wanaposafiri kwenye mechi mikoani.

Sasa msimu ujao ubingwa ni wetu.

Mbona basi la kawaida SANA...Tena ni mtumba.... aiseeeh UNAFIKI MBAYA SANA
 
Back
Top Bottom