Nampongeza Rais Samia kwa Kuja Russia maana ametufungulia njia vema kujieleza tukaeleweka

Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia

Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako

Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua hata wale ambao hawakuwa hi kupata nafasi kukusikiliza

Nimependa utulivu wako ulivyoulizwa swali mbele ya Putin kwamba ukawa amrisha kwamba unapenda uulizwe kwa Kiswahili nimefurahi sana aisee

Uliponikosha zaidi ni pale ulipo ulizwa unataka kufanya
biashara na Russia, kumbuka Russia amekewa Vikwazo na Marekani swali ni je Tanzania utaweza kukwepa(Bypass) na nawewe

Usiwekewe vikwazo? Ulichojibu ni Tofauti na Ulichoulizwa, kwanza tuliokuwa nyuma kwenye ukumbi tukaguna kwa mbaaali Lakin tukakausha kumbe imeenda viral

Ulitakiwa ujibu utakwepa Vipi hivyo vikwaza anavyowekewa Russia na unataka kutrade naye? We ukasema Tanzania hatuna vikwazo vyovyote toka nchi yeyote !!

Hii imenipa point zote tatu na magoli matatu kwa wale niliowaambia kuwa uwezo wako haufikii unachotamani kukifanyia Tanzania hivo ni bora ungekuwa unatuma mwakilishi tu !

Britanicca
Kwenye swali haikutajwa urusi,na ndiyo maana toka wapinzani tz mpaka kenya walilazimisha kuwa tz imewekewa vikwazo,muuliza swali hakuwa specific ni nchi gani iliyowekewa vikwazo kati ya tz na urusi,hasa ukizingatia restrictions za western world za hivi punde kutokana na matukio ya oktoba

So msilazimishe kwamba pale muuliza swali alimaanisha vikwazo vya urusi
 
Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia

Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako

Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua hata wale ambao hawakuwa hi kupata nafasi kukusikiliza

Nimependa utulivu wako ulivyoulizwa swali mbele ya Putin kwamba ukawa amrisha kwamba unapenda uulizwe kwa Kiswahili nimefurahi sana aisee

Uliponikosha zaidi ni pale ulipo ulizwa unataka kufanya
biashara na Russia, kumbuka Russia amekewa Vikwazo na Marekani swali ni je Tanzania utaweza kukwepa(Bypass) na nawewe

Usiwekewe vikwazo? Ulichojibu ni Tofauti na Ulichoulizwa, kwanza tuliokuwa nyuma kwenye ukumbi tukaguna kwa mbaaali Lakin tukakausha kumbe imeenda viral

Ulitakiwa ujibu utakwepa Vipi hivyo vikwaza anavyowekewa Russia na unataka kutrade naye? We ukasema Tanzania hatuna vikwazo vyovyote toka nchi yeyote !!

Hii imenipa point zote tatu na magoli matatu kwa wale niliowaambia kuwa uwezo wako haufikii unachotamani kukifanyia Tanzania hivo ni bora ungekuwa unatuma mwakilishi tu !

Britanicca
Swali lilikuwa jepesi sana,kikao kilikuwa ni chenye pressure kubwa,ni cha kimataifa mno kwa ngazi ya juu,posibly swali halikueleweka vyema,,pale alipoelekeza lugha ibadilishwe,ilipaswa aombe swali lirudiwe upya,lakini ni mistake ndogo mno isiyo na impact yoyote katika overalls ya malengo ya dhiara husika,kuteleza kupo lakini isichukuliwe kama ndiyo nongwa.(Ukizingatia kiingerza siyo lugha yetu)
 
Ila we jamaa, 🤣🤣🤣🤣🤣
 
We have got another Lucas Mwashambwa
 
Rushwa hutia upofu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ni ujinga sana kila kitu kukigeuza kama agenda ya chama chenu,tupende kuwa positive katika hoja zetu...bearng powerful positively agenda that built/ sasa jitu linabeba hoja negative alafu anatiririka nazo,ujinga kabisa.
Pia mind that mimi sina chama chochote. So siyo kila anayepinga ujinga wako basi Chadema
 
Tumshazoea kusikia na tutasikia mengi

Who are you,

hakuna utekaji hiyo ni michezo TU,

polisi akirushiwa mawe anakutwanga risasi,

sisi hatujawekewa vikwazo,

mkiendelee na viburi vyenu mtaozea jela,

kwenye hii serikali Kuna yuda.

Ukitoa Simba na yanga Mimi ni kiongozi ninaye trendi/ fuatiliwa zaidi, By .....

watu wanatekwa nakupotea Kwa sababu ya mapenzi. by .....

Serikali hii inapambana sana na wizi na ufisadi.

Ukiwa nje ya serikali unaongelea kupinga rushwa nyinyi sababu hampo ndani ya serikali. ...........siku. mwelewa makonda hapa.
Na wewe naamini umesikia kauli nyingi za kushangaza na kifurahisha.
Hata hivyo ni mambo ya kawaida katika siasa.
 
Pia mind that mimi sina chama chochote. So siyo kila anayepinga ujinga wako basi Chadema
Utakuwa ni mtu bora kabisa,maana unakura kwa yule unayeona atakuletea maendeleo kwa record nzuri alizo nazo,ulimwengu huu si mpya, ni historia zinazoboreshwa tu,utapima,utajiuliza,utafanya maamuzi sahihi.
 
Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia

Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako

Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua hata wale ambao hawakuwa hi kupata nafasi kukusikiliza

Nimependa utulivu wako ulivyoulizwa swali mbele ya Putin kwamba ukawa amrisha kwamba unapenda uulizwe kwa Kiswahili nimefurahi sana aisee

Uliponikosha zaidi ni pale ulipo ulizwa unataka kufanya
biashara na Russia, kumbuka Russia amekewa Vikwazo na Marekani swali ni je Tanzania utaweza kukwepa(Bypass) na nawewe

Usiwekewe vikwazo? Ulichojibu ni Tofauti na Ulichoulizwa, kwanza tuliokuwa nyuma kwenye ukumbi tukaguna kwa mbaaali Lakin tukakausha kumbe imeenda viral

Ulitakiwa ujibu utakwepa Vipi hivyo vikwaza anavyowekewa Russia na unataka kutrade naye? We ukasema Tanzania hatuna vikwazo vyovyote toka nchi yeyote !!

Hii imenipa point zote tatu na magoli matatu kwa wale niliowaambia kuwa uwezo wako haufikii unachotamani kukifanyia Tanzania hivo ni bora ungekuwa unatuma mwakilishi tu !

Britanicca
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Empty set.
 
Kilaza tangu lini akang'amua maswali ya kimtego?

Make inaeleweka bi chura somo alilokuwa akifaulu vizuri ni imla, sasa maswali ya mafumbo(mathematics) huko ni kumuonea tu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania ni mdau wa NAM tangu enzi za misukosuko ya vita baridi. Sera zetu za mambo ya nje na hata ushirkiano wetu na nchi za nje umejikita kwenye msingi wa kutokukubaliana na nadharia inayolazimisha adui wa mshirika kuwa adui yetu pia.

Rais wa Tanzania kabla ya kwenda urusi kwenye mwaliko tunaoaminishwa kuwa na maslahi kwa taifa, alipaswa kufanya rejea ya sera yetu ya mambo ya nje hata akiwa angani kwa masaa 9 na dakika kumi kuweza kujibu swali rahisi aliloulizwa kwa kujiamini.

Badala yake kwa kutokuwa na maudhui tajwa akakimbilia kujibu juu juu tu kwa Kiswahili ambapo hata mswahili aligundua tu kilichoulizwa hakikujibiwa kabisa. 😭
 
Back
Top Bottom