Nampongeza Rais Samia na Serikali yake Kudhibiti uvujaji wa siri na Nyaraka za Serikali

Kuitetea Siririkali ya Awamu hii,

Lazima uwe na moyo wa mwendawazimu!!!!
 
mm sijakuelewa na huo uzalendo wako.kama watu wanaiba,wanatorosha wanyama wetu nk hizo siri zifichwe?huu upumbavu watz mnautoa wapi?kwa hiyo hata zile dhahabu zilizokamatwa kanya na nchi nyingine hizo siri zingefichwa halafu ujajiita mzalendo hata aibu huna.madarsa yanajengwa chini ya viwango,dawa hospitalini zinaibiwa,wagonjwa hawapati tiba ipasavyo,watototo hawapati mafunzo vizuri,ajira zinatolewa kwa upendeleo,watumishi wnaibiwa mafao yao kwa kigezo cha kikokotoo,makato ya watumishi yanachukuliwa na serikali bila utaratibu,bima ya afya inatumia fedha za wachangiaji bila makubaliano ya wachangiaji,nk haya yote yasiwekwe hadharani sababu ni siri.hii nchi haitafika mbali tukiwa na wajinga kama nyie.
 
naona huyu jamaa anazungumzia udaku na majungu ya kigogo2014 enzi hizo ndio anasema siri zilikuwa zinavuja kumbe ni ubaya tu wa watu wachache waliokuwa karibu enzi hizo akiwemo na bibititi
 
Zipo Taarif ambazo hazipaswi kutok kwa maslahi mapana ya Taifa letu,ulishawahi kusikia kiapo Cha mawaziri? Umewahi kusikia kiapo Cha viongozi wa ngazi mbalimbali katika vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama?
Kwa taarifa Yako hata US huko, Siri zinavuja tu mbona mpaka phonecalls za Trump zilivujishwa au issue ya email za Hillary Clinton!! Kama kitu kina maslahi kwa wananchi kitavujishwa tu kuliko kutunza Siri huku nchi inaangamizwa.

Kingine Kuna Siri kadhaa ikipita miaka fulani huwa zinakua declassified kisheria kabisa. Kuna mambo alifanya Clinton au Bush akiwa Rais ndio zinaachiliwa Sasa wananchi waone. So sio kweli kwamba nchi zilizoendelea hazivujishu au kuachia Siri zitolewe baada ya miaka kadhaa kupita.
 
mwambieni hata mbinguni siri zilivuja iwe hapa ardhini chini ya jua!hata za kwake zitavuja tu.
 
Kuitetea Siririkali ya Awamu hii,

Lazima uwe na moyo wa mwendawazimu!!!!
Kazi njema ilizofanya serikali hii zinajitangaza na kuonekana kwa watanzania ambao kwa macho yao wameona kazi ya kutukuka na ya kizalendo iliyofanywa na mh Rais wetu na serikali yake
 
Watanzania wote Ni ndugu zangu ,labda Kama wewe Ni mkongo Mani
Mimi mbona sio ndugu yako!! Jibu hoja umeulizwa ni siri gani ya serikali imewahi kuvuja tukaiona wananchi wa nchi hii kuanzia zile Classified infos,Classified Classified infos na Confidential infos unabaki unabwabwaja bwabwaja tu humu
 
Taja siri zilizowahi kuvuja na sasa zimedhibitiwa!?
Rais JIWEkutoka usiku kwenda kwa kimada..tena mange kimambi aliposy hadi video ya magari ya ikulu yakienda kwa AK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…