The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Nitoe pongezi kwa ROBERT HERIEL nimekua msomaji wa maandiko yake mengi humu JF na nikiri wazi kua kijana huyu (naamini ni mwanaume kutokana na hulka na uandishi wake) analenga taswira chanya katika kila andiko lake.
Hana tabia ya kupindisha ukweli ili kupeti peti wanajukwaa, jamaa atasema ukweli hata kama utakua kinyume na walio wengi. Katika maandiko yake pasina shaka ni kijana mwenye uelewa wa kutosha katika saikolojia ya jamii aidha kwa kusoma au kwa uzoefu, ana exposure juu ya masuala ya uchumi na kanuni za uchumi, kwenye mahusiano anayadadavua vema majukumu na nafasi ya mwanamke na mwanaume.
Kuna mambo mengi katika nyanja tofauti hua natamani kuandika ila nagairi kuandika kutokana na kukosa strategy za kudadafua ila nakuta kijana umedadafua kwa ustadi hongera mkuu ROBERT HERIEL