Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Vishu Mtata huyu jamaa namkubali sana namuonaga kwenye uzi za mambo ya kimataifa yani anatoa madini kama Mererani 😁😁Jaribu pia kumfatilia Vishu Mtata huwa ana madini konki kwenye comments zake, huwa sichoki kumfatilia Vishu Mtata