Nampongeza sana Aslay Mihogo, vijana kuweni wabunifu

Ingawa mie sio mlaji sana lkn katika chakula nnachoweza kula sn ni mihogo. Yaani hadi leo mchana pia nimekula huohuo. Ila baadae inanitesa kwa gesi lkn sikomi
My favourite muhogo wa nazi kwa nyama ya jembe ๐Ÿ˜‹View attachment 3159762
Mihogo nikila inanikifu mapema sana halafu itachukua muda mrefu kusikia hamu ya kuila tena, siwezi kuila mingi wala kwa siku kadhaa mfululizo kama vyakula vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ