Nampongeza sana Rais Samia kwenda Urusi, nampongeza sana

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Chei chei

Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu

Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi

Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi

Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi, tanzania isonge mbele, hatuwezi kufanya kazi serikalini taifa lote hili

Nampongeza sana MAMA SAMIA SULUHU na pongezi ziende pia kwa V-PUTIN jamaa namkubali sana na yeye ndio anafanya nampongeza MAMA SAMIA SULUHU
 
Kwanini unaandika kama zumbukuku? Au ndio jforumholic?
Maskini mnachukia kila kitu, kijiko kimeanguka unampiga mtoto, haya sasa nuneni mfe
 
Chei chei

Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu

Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi

Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi

Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi, tanzania isonge mbele, hatuwezi kufanya kazi serikalini taifa lote hili

Nampongeza sana MAMA SAMIA SULUHU na pongezi ziende pia kwa V-PUTIN jamaa namkubali sana na yeye ndio anafanya nampongeza MAMA SAMIA SULUHU
well done gentleman 👊
 
Maskini mnachukia kila kitu, kijiko kimeanguka unampiga mtoto, haya sasa nuneni mfe
Unaandika mada kama mbili kasorobo usiambiwe! Masikini wa fikra jifunze uandishi, tangu uone masikini wanatukanwa unafuata mkumbo tu badala ya kubase kwenye kujifunza kupangilia maneno!
 
Chuki zako tu ndio zinakuongoza, wanawake mna roho mbaya sana, hasa mkiona wanawake wenzenu wanafanikiwa.. acha roho ya korosho utakufa umekauka
 
Back
Top Bottom