Nampongeza sana Rais Samia kwenda Urusi, nampongeza sana

Chuki zako tu ndio zinakuongoza, wanawake mna roho mbaya sana, hasa mkiona wanawake wenzenu wanafanikiwa.. acha roho ya korosho utakufa umekauka
Including ur mamaz? Una kariri upumbavu, akili fupi🚮
 
Yes,
very serious.

as a symbol of National Unity, our very able President is very brilliant politically speaking šŸ’
Hatukati ila umesoma hata kilichoandikwa na huyo buku saba?
 
Chei chei

Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu

Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi

Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi

Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi, tanzania isonge mbele, hatuwezi kufanya kazi serikalini taifa lote hili

Nampongeza sana MAMA SAMIA SULUHU na pongezi ziende pia kwa V-PUTIN jamaa namkubali sana na yeye ndio anafanya nampongeza MAMA SAMIA SULUHU
Utakuwa huu ni uzi wa 17 leo.

Muda umeenda, pumzika sasa mkuu.
 
Chei chei

Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu

Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi

Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi

Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi, tanzania isonge mbele, hatuwezi kufanya kazi serikalini taifa lote hili

Nampongeza sana MAMA SAMIA SULUHU na pongezi ziende pia kwa V-PUTIN jamaa namkubali sana na yeye ndio anafanya nampongeza MAMA SAMIA SULUHU
Hata kupata mawazo mapya kunahitaji brain, bwashe. The fazafaka is brainless!
 
Back
Top Bottom