Id nyingine ya Lucas mambwaJoined May 2026
Hata luka haandiki kishenzi shenzi hivi!๐ฎNilijua tu we ni Lucas mambwa trash
Anaandika hivi ili asigundulikeHata luka haandiki kishenzi shenzi hivi!๐ฎ
Hii pia soon utaikimbiaInabidi muwe wavumilivu
well done gentleman ๐Chei chei
Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu
Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi
Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi
Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi, tanzania isonge mbele, hatuwezi kufanya kazi serikalini taifa lote hili
Nampongeza sana MAMA SAMIA SULUHU na pongezi ziende pia kwa V-PUTIN jamaa namkubali sana na yeye ndio anafanya nampongeza MAMA SAMIA SULUHU
Unaandika mada kama mbili kasorobo usiambiwe! Masikini wa fikra jifunze uandishi, tangu uone masikini wanatukanwa unafuata mkumbo tu badala ya kubase kwenye kujifunza kupangilia maneno!Maskini mnachukia kila kitu, kijiko kimeanguka unampiga mtoto, haya sasa nuneni mfe
Kumbe kweli huyu mwezi mchanga, loh!! Basi asinimalizie calories zangu mie.. ๐ฎAnaandika hivi ili asigundulike
Like seriously ๐ณwell done gentleman ๐
Chuki zako tu ndio zinakuongoza, wanawake mna roho mbaya sana, hasa mkiona wanawake wenzenu wanafanikiwa.. acha roho ya korosho utakufa umekaukaUnaandika mada kama mbili kasorobo usiambiwe! Masikini wa fikra jifunze uandishi, tangu uone masikini wanatukanwa unafuata mkumbo tu badala ya kubase kwenye kujifunza kupangilia maneno!