Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Haya bwana mzee Zari hajui chochote duniani zaidi ya kuwamanulia (excuse my language) wenye noti ili wafaidi utamu wake.

BAK Hiv mzee unamjua vizuri don ivan?Huyo zari una muoverrate tu hata kupika ajui alafu Ni muafrica? Anerlisa pamoja na kuwa ana mkwanja mrefu lakini anajua kupika.Hiv ujiulizi kwanini Zari hadate na wanaume wenye vipato vya kawaida?
 
Nonsense! I am talking about how successful she’s on running those biz and you just want to prove ujinga wako kwamba she is zero brain.

Who told you she is a zero brain ??...

by the way thanks for giving a fool like me a "privilledge" to have a conversation with a "smart " person like you..
stay blessed brother
 
😂😂😂😂😂😂😂😂

Z


Who told you she is a zero brain ??...

by the way thanks for giving a fool like me a "privilledge" to have a conversation with a "smart " person like you..
stay blessed brother
 
Tuseme ukweli hakuna mtu anapenda kutukaniwa mtoto wake, watoto wa zari wametukanwa saana, na nakuambia zari hana shida na diamond kumbukeni hata marehemu ivan alikiwa wanaelewana vizur tu na zari, mpaka marehemu aliwah kumuwish tiffa happy birthday, tatizo waswahili tunaaminigi hawara hawaachani, sasa sio kwa kila mtu...tuacheni kuumizwa na maisha ya watu km tunayatamani basi tuyaige kwa amani tu...sio yakitushinda tunaanza mara fake life mara hv hapana kwakweli
 
That's why she is my role model. Anajielewa sana na uzuri huwa hakubali kutawaliwa na team yake wala mtu baki kimaamuzi.
😂😂😂😂😂 kuna baadhi ya Watanzania wanadhani wanamfahamu huyu binti nje ndani. Na kwao wao wanaamini hajui lolote zaidi ya kuwatega wanaume wenye noti. Huyu binti kwenye biashara yuko very smart sana ni basi tu watu hawamfamu kiasi hicho.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Zari Ni mdangaji na amepatia maisha Ni kwasababu anadate na wanaume wenye pesa na kumbuka pia sasa hiv kashachukua Mali za mumewe ivan na siku Diamond akifa mama dangote asipo kuwa makini atajikuta hata nusu ya Mali za mwanae apati ila wanawake ambao Ni fighter na wasiotegemea wanaume na wamefanikiwa sana mfano mzuri madam Rita na yule demu wa Ben pol mkenya.
Dinazarde Khantwe

Nikuambie tu brother, wanawake matajiri self made wengi hata kwenye spotlight hawapo au kama wapo bhasi ni kwa kazi wanazofanya. Anelisa ni mali za home, madam Ritha ya hardwork pia alikuwa na back up ya mtu mzito

Huyo Zari ni product ya Ivan na gang yake ambayo rumours zinasema walikuwa ni drug lords. Huyu mama (maana hata sio binti) alikuwa named the richest socialate in EA almost 10 years back lakini ukisoma utajiri wake huwezi pata trace umetokea wapi.. someone tells me ni sababu ya smartness yake 😂😂😂??..

Hapa EA especially Tz anababaikiwa maana hakuna smart socialate kama yeye ila ukienda Kenya, Nigeria au SA ni kitu cha kawaida.

Zari is just a socialate na bila attention hawezi kuwa relevant. She is just another Vera or Kardashians
 
THANK YOU 🙏🏽 Madam Numbisa. Watu wanamdharau sana huyu binti kwamba hajui lolote zaidi ya kuwanasa wenye noti. Ana mchango mkubwa sana wa kuongeza mafanikio kwa aliowahi kuwa nao ila wengi hawalioni hilo wanadhani alinyoosha miguu tu na kusubiri aletewe.

That's why she is my role model. Anajielewa sana na uzuri huwa hakubali kutawaliwa na team yake wala mtu baki kimaamuzi.
 
1592120220862.jpeg
 
Ulikuwa unaandika kwa kutetemeka.
 
BAK tusidanganyane Zari hana Mafanikio hayo Ni kwasababu ana date na watu wenye pesa na uwezi kumsifia kiasi hicho imagine kuchukua karibuni nusu na robo ya Mali ya ivan na ivani kabla ajafa alitengeneza msingi mzuri wa biashara zake Ni Kama alivyofanya Reginald Mengi hapa Tanzania na pia mamadangote asipokuwa makini ikitukea Diamond akafariki anaweza kujikuta hata nusu ya Mali za mwanae Diamond apati ila wapo wanawake wamefanikiwa bila hata kutegemea jasho la mwanaume mfano mzuri Ni demu wa Ben pol yule mkenya ana mpunga wa maana alafu alingi na pia na muona ana impact kwenye Jamii anasaidia Sana watu huyu ndo ulitakiwa umsifie sana sio Zari
Dinazarde Khantwe
Mafanikio ni nini?
 
Mafanikio ni nini?
@MrsVan najua unampenda Sana Zari umefika hatua ya kumtetea hata sehemu asiyo stahili Zari sio roll model eti kwa wanawake wanaofight for own ability bila ya mkono wa mwanaume labda uwe roll model wake kwenye kulea hapo sawa kwenye hiyo sector yupo vizuri ila sio kwenye maisha yake kwa ujumla.
 
Haya bwana mzee Zari hajui chochote duniani zaidi ya kuwamanulia (excuse my language) wenye noti ili wafaidi utamu wake.
Eti kuwamanulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] yaan nyie
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
THANK YOU [emoji1431] Madam Numbisa. Watu wanamdharau sana huyu binti kwamba hajui lolote zaidi ya kuwanasa wenye noti. Ana mchango mkubwa sana wa kuongeza mafanikio kwa aliowahi kuwa nao ila wengi hawalioni hilo wanadhani alinyoosha miguu tu na kusubiri aletewe.
Binti??[emoji849][emoji849][emoji849]

BAK unajua kujitoa ufahamu[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom