Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

🤣🤣🤣🤣🤣 Kuna baadhi ya watu WANAMZEREU Zari sana tu kwamba hajui lolote duniani yupo yupo tu kuvizia ME wenye pochi akanyooshe miguu huku anakula kuku kwa mrija.

Eti kuwamanulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] yaan nyie
 
Nikuambie tu brother, wanawake matajiri self made wengi hata kwenye spotlight hawapo au kama wapo bhasi ni kwa kazi wanazofanya. Anelisa ni mali za home, madam Ritha ya hardwork pia alikuwa na back up ya mtu mzito

Huyo Zari ni product ya Ivan na gang yake ambayo rumours zinasema walikuwa ni drug lords. Huyu mama (maana hata sio binti) alikuwa named the richest socialate in EA almost 10 years back lakini ukisoma utajiri wake huwezi pata trace umetokea wapi.. someone tells me ni sababu ya smartness yake [emoji23][emoji23][emoji23]??..

Hapa EA especially Tz anababaikiwa maana hakuna smart socialate kama yeye ila ukienda Kenya, Nigeria au SA ni kitu cha kawaida.

Zari is just a socialate na bila attention hawezi kuwa relevant. She is just another Vera or Kardashians

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa nimemuunga mkono kwa asilimia 100 Na hii imekuja baada ya tetesi ya yeye kurudiana na diamond lakini pia kwa kuzungumziwa vibaya mwanaye Tiffah nimnukuu baadhi ya maneno aliyoongea

"Nikiwa ninaambiwa Niko desperate Mara nawatumia watoto kurudiana na diamond hivi nikirudiana nae Nini kinachofanya mteseke? Kuna wengine wana nionea wivu kwa Sababu me ni rich wakati wao ni masikini wanauza nyanya vitunguu uko, me ni mwanamke mzuri wakati wao wanasura mbaya,una kuta mtu ana vocha ya 100 anawasha hotspot kwa wenzake 7 wanalala kwenye godoro moja alafu wanakuja kunitukana Mimi ambaye ninatoka kwangu Nina gari Kali naenda ofisini"

Akaongeza pia sijawahi kuona mtu mwenye Mafanikio anamchukia mtu mwingine mwenye Mafanikio Mara nyingi watu wenye wivu ambao Ni masikini ndio wanachukiwa watu matajiri Leo hii siwezi Mimi zari kutoka Africa eti nimchukie Oprah wa Marekani hata nikimchukia ninapata faida gani? Kwani itamzuia yeye asipate Mafanikio? Aliyepewa kapewa tu watanzania wanatakiwa wawe inspired badala ya kuwa na chuki.

NB: Hili suala la wivu alilolizungumzia Zari ndio tabia halisi walionalo Watanzania Jana wakati nimepanda daladala naenda sehemu fulani mbele ya daladala niliyopanda kulikuwa na mark x dereva wa hiyo gari alikuwa anaendesha taratibu dereva wa daladala niliyopanda akasema Hawa wakishapata vigari vyao vya mkopo wanatusumbua Sana barabarani imagine unakuta huyo dereva hata tu baskeli Hana alafu anaongea kauli Kama hizo sijui watanzania tuna shida gani? sometimes ndo maana watu hawapati Mafanikio kutokana na hizi tabia.

Numbisa Leo naona meno nje
Upo sahihi sana
Tubadilike
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna baadhi ya watu WANAMZEREU Zari sana tu kwamba hajui lolote duniani yupo yupo tu kuvizia ME wenye pochi akanyooshe miguu huku anakula kuku kwa mrija.
ha ha ha

Angekuwa sio smart, hata Leo tusingemsikia

Yuko vizuri upstairs, sema dharau ndo ujinga wake ulipolala hapo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
@MrsVan najua unampenda Sana Zari umefika hatua ya kumtetea hata sehemu asiyo stahili Zari sio roll model eti kwa wanawake wanaofight for own ability bila ya mkono wa mwanaume labda uwe roll model wake kwenye kulea hapo sawa kwenye hiyo sector yupo vizuri ila sio kwenye maisha yake kwa ujumla.
Hivi nikisema huna akili nitakua nimekuonea? Mbona hujajibu swali umekimbilia kashfa. Swali lingine, 'roll model' maana yake nini?
 
Mnajidanganyaga tuu, tukubali tukatae zari ni next level , kama ni lyfe kalipatia, kama ni shule anayo kichwani ,.....mabinti wa level zake kiuhalisia unawatafuta Kwa tochi ......angalau hata demu wa Ben Paul anaweza akamtoa nockout
We jamaa ni mwanaume au.??
Kinachokupa wewe attention usikilazimishe wa wote, kama wewe Kwa level zako unaona Zari ndo kila kitu baki hivyo.
Kwenye hustle zangu nakutana na wanawane wengi tu wakali,wenye pesa chafu tenda wanazitafuta wenyewe afu wewe unbweka hapa eti Zari hakuna wa kumpata kimafanikio kwa wanawake.?? Watu wana hela, ni vile tu hawana muda wa kujianika kwenye Camera.Tanzania hii kuna wanawake wanaoweza kukuajiri na kukulisha wewe maisha yako yote mpaka unakufa.Nenda migodini, au kwenye field nyingine huko ukajionee mwenyewe.

NB:Kwangu mimi Zari ni demu wa kawaida tu kulingana na level zangu, na ni mkali kwako kulingana na level zako.Usiforce mtazamo.
 
Back
Top Bottom