Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
DinamariousDina yupi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DinamariousDina yupi mkuu?
Dinamarious
Huyo mwanamke angekuwa mzuri kama mke wangu, angekuwa na pesa kama...., angekuwa na elimu kama..., nadhani angetamba sana.
NB:Asiseme watanzania anakuwa ameattack kundi kubwa sana,watz wengene hatuna ata shobo na life lake, afu ajue kabisa hapa tz, kuna watu wana maisha mazuri, warembo, pesa chafu, na watoto wazuri pengine kuliko hata hao wake, ila basi tu hawakuwahi taka kuruka mbele ya camera na hiyo mitandao ambayo mwishowe hata yeye ameshindwa kuihimili.
Huyo mwanamke angekuwa mzuri kama mke wangu, angekuwa na pesa kama...., angekuwa na elimu kama..., nadhani angetamba sana.
NB:Asiseme watanzania anakuwa ameattack kundi kubwa sana,watz wengene hatuna ata shobo na life lake, afu ajue kabisa hapa tz, kuna watu wana maisha mazuri, warembo, pesa chafu, na watoto wazuri pengine kuliko hata hao wake, ila basi tu hawakuwahi taka kuruka mbele ya camera na hiyo mitandao ambayo mwishowe hata yeye ameshindwa kuihimili.
Zari ana akili gani ya maisha !!..Warudiane tu walikuwa wanapendeza sana kama couple. Na DP hatapata mwanamke mzuri na mwenye akili ya maisha kama Zari. Pia itakuwa ni vizuri kurudiana kwa ajili ya watoto wao.
Baada ya kusikia tetesi za Yeye kurudiana na Diamond Mmeanza kujipendekeza kwa kumsifia na kujikombakomba, siku hizi Mmepunguza kumtukana?
Misukule ya chibunye mnaangaika sana
Hatapata?? Kwamba dunia hii Zari ndio mwanamke pekee mwenye akili?Warudiane tu walikuwa wanapendeza sana kama couple. Na DP hatapata mwanamke mzuri na mwenye akili ya maisha kama Zari. Pia itakuwa ni vizuri kurudiana kwa ajili ya watoto wao.
Zari ana akili gani ya maisha !!..
Yupo vizuri kwenye kuchagua wanaume wa kumfikisha mbali tu ila ukijiuliza baada ya Ivan na Kwa umaarufu alioupata kwa Diamond, kuna kitu gani katengeneza ukitoa event yake ya Zari All white party ??.... NOTHING
This old woman is a way too overrated in Tz haswa kwa waliomjua kwa Diamond na sishangai kwa nini waganda wanamkubali zaidi Juliana Kanyomozi maana the lady amehenya kupata fame yake plus yupo classy na intelligent pia.
Hatapata?? Kwamba dunia hii Zari ndio mwanamke pekee mwenye akili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia ila mimi naamini ni kitu cha kufikirika tuUmeshasikia kitu kinachoitwa KARMA!?
Mnajidanganyaga tuu, tukubali tukatae zari ni next level , kama ni lyfe kalipatia, kama ni shule anayo kichwani ,.....mabinti wa level zake kiuhalisia unawatafuta Kwa tochi ......angalau hata demu wa Ben Paul anaweza akamtoa nockout
Angekuwa hana akili ya maisha asingekuwa hapo alipo asingeweza kusimamia biashara alizoachiwa na hata waajiriwa wamsifie kwa performance yake tangu aliposhika usukani wa biashara husika.
Ni kweli hata cleopatra alisema "if you want anything in life as a woman, find a right man to get it for you", kama sio smart huwezi kufanya hilo mbaya zaidi at 30's kama Zari. Nakubali mkuu
Zari Ni mdangaji na amepatia maisha Ni kwasababu anadate na wanaume wenye pesa na kumbuka pia sasa hiv kashachukua Mali za mumewe ivan na siku Diamond akifa mama dangote asipo kuwa makini atajikuta hata nusu ya Mali za mwanae apati ila wanawake ambao Ni fighter na wasiotegemea wanaume na wamefanikiwa sana mfano mzuri madam Rita na yule demu wa Ben pol mkenya.Mnajidanganyaga tuu, tukubali tukatae zari ni next level , kama ni lyfe kalipatia, kama ni shule anayo kichwani ,.....mabinti wa level zake kiuhalisia unawatafuta Kwa tochi ......angalau hata demu wa Ben Paul anaweza akamtoa nockout
BAK tusidanganyane Zari hana Mafanikio hayo Ni kwasababu ana date na watu wenye pesa na uwezi kumsifia kiasi hicho imagine kuchukua karibuni nusu na robo ya Mali ya ivan na ivani kabla ajafa alitengeneza msingi mzuri wa biashara zake Ni Kama alivyofanya Reginald Mengi hapa Tanzania na pia mamadangote asipokuwa makini ikitukea Diamond akafariki anaweza kujikuta hata nusu ya Mali za mwanae Diamond apati ila wapo wanawake wamefanikiwa bila hata kutegemea jasho la mwanaume mfano mzuri Ni demu wa Ben pol yule mkenya ana mpunga wa maana alafu alingi na pia na muona ana impact kwenye Jamii anasaidia Sana watu huyu ndo ulitakiwa umsifie sana sio ZariNonsense! I am talking about how successful she’s on running those biz and you just want to prove ujinga wako kwamba she is zero brain.
BAK tusidanganyane Zari hana Mafanikio hayo Ni kwasababu ana date na watu wenye pesa na uwezi kumsifia kiasi hicho imagine kuchukua karibuni nusu na robo ya Mali ya ivan na ivani kabla ajafa alitengeneza msingi mzuri wa biashara zake Ni Kama alivyofanya Reginald Mengi hapa Tanzania na pia mamadangote asipokuwa makini ikitukea Diamond akafariki anaweza kujikuta hata nusu ya Mali za mwanae Diamond apati ila wapo wanawake wamefanikiwa bila hata kutegemea jasho la mwanaume mfano mzuri Ni demu wa Ben pol yule mkenya ana mpunga wa maana alafu alingi na pia na muona ana impact kwenye Jamii anasaidia Sana watu huyu ndo ulitakiwa umsifie sana sio Zari
Dinazarde Khantwe
BAK Hiv mzee unamjua vizuri don ivan?Huyo zari una muoverrate tu hata kupika ajui alafu Ni muafrica? Anerlisa pamoja na kuwa ana mkwanja mrefu lakini anajua kupika.Hiv ujiulizi kwanini Zari hadate na wanaume wenye vipato vya kawaida?Wakati anadate na huyo Ivan, Ivan alikuwa na Mali kiasi gani? Unajua mchango wa Zari kwenye kuongeza utajiri wakati wakiwa pamoja? Au unadhani alikuwa ni mke tu wa kukaa nyumbani na kumuachia hustles zote Ivan?