Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Haya bwana mzee Zari hajui chochote duniani zaidi ya kuwamanulia (excuse my language) wenye noti ili wafaidi utamu wake.

BAK Hiv mzee unamjua vizuri don ivan?Huyo zari una muoverrate tu hata kupika ajui alafu Ni muafrica? Anerlisa pamoja na kuwa ana mkwanja mrefu lakini anajua kupika.Hiv ujiulizi kwanini Zari hadate na wanaume wenye vipato vya kawaida?
 
Nonsense! I am talking about how successful she’s on running those biz and you just want to prove ujinga wako kwamba she is zero brain.

Who told you she is a zero brain ??...

by the way thanks for giving a fool like me a "privilledge" to have a conversation with a "smart " person like you..
stay blessed brother
 
😂😂😂😂😂😂😂😂

Z


Who told you she is a zero brain ??...

by the way thanks for giving a fool like me a "privilledge" to have a conversation with a "smart " person like you..
stay blessed brother
 
Tuseme ukweli hakuna mtu anapenda kutukaniwa mtoto wake, watoto wa zari wametukanwa saana, na nakuambia zari hana shida na diamond kumbukeni hata marehemu ivan alikiwa wanaelewana vizur tu na zari, mpaka marehemu aliwah kumuwish tiffa happy birthday, tatizo waswahili tunaaminigi hawara hawaachani, sasa sio kwa kila mtu...tuacheni kuumizwa na maisha ya watu km tunayatamani basi tuyaige kwa amani tu...sio yakitushinda tunaanza mara fake life mara hv hapana kwakweli
 
That's why she is my role model. Anajielewa sana na uzuri huwa hakubali kutawaliwa na team yake wala mtu baki kimaamuzi.
 
Reactions: BAK

Nikuambie tu brother, wanawake matajiri self made wengi hata kwenye spotlight hawapo au kama wapo bhasi ni kwa kazi wanazofanya. Anelisa ni mali za home, madam Ritha ya hardwork pia alikuwa na back up ya mtu mzito

Huyo Zari ni product ya Ivan na gang yake ambayo rumours zinasema walikuwa ni drug lords. Huyu mama (maana hata sio binti) alikuwa named the richest socialate in EA almost 10 years back lakini ukisoma utajiri wake huwezi pata trace umetokea wapi.. someone tells me ni sababu ya smartness yake 😂😂😂??..

Hapa EA especially Tz anababaikiwa maana hakuna smart socialate kama yeye ila ukienda Kenya, Nigeria au SA ni kitu cha kawaida.

Zari is just a socialate na bila attention hawezi kuwa relevant. She is just another Vera or Kardashians
 
THANK YOU 🙏🏽 Madam Numbisa. Watu wanamdharau sana huyu binti kwamba hajui lolote zaidi ya kuwanasa wenye noti. Ana mchango mkubwa sana wa kuongeza mafanikio kwa aliowahi kuwa nao ila wengi hawalioni hilo wanadhani alinyoosha miguu tu na kusubiri aletewe.

That's why she is my role model. Anajielewa sana na uzuri huwa hakubali kutawaliwa na team yake wala mtu baki kimaamuzi.
 
Ulikuwa unaandika kwa kutetemeka.
 
Mafanikio ni nini?
 
Mafanikio ni nini?
@MrsVan najua unampenda Sana Zari umefika hatua ya kumtetea hata sehemu asiyo stahili Zari sio roll model eti kwa wanawake wanaofight for own ability bila ya mkono wa mwanaume labda uwe roll model wake kwenye kulea hapo sawa kwenye hiyo sector yupo vizuri ila sio kwenye maisha yake kwa ujumla.
 
Haya bwana mzee Zari hajui chochote duniani zaidi ya kuwamanulia (excuse my language) wenye noti ili wafaidi utamu wake.
Eti kuwamanulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] yaan nyie
 
Reactions: BAK
Binti??[emoji849][emoji849][emoji849]

BAK unajua kujitoa ufahamu[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…