Namsaidiaje mdogo wangu huyu angalau awe msafi?

Mnunulie toys achezee kwani kuna kila dalili kuwa huyo hajakuwa kiakili, yaani akili yake bado iko kwenye status ya loading.....
 
Aisee acha kumsimanga huyo dogo, Mimi Nimekuwa kwenye Mikono ya Wazazi wote wawili mpaka sasa Nipo kwangu ila still kuna wakati demu anaweza kuja geto akapakuta pachavu kinoma, Yani inafika time narudi safari naona geto pachafu sirudi nachukua lodge nalala pasafi.

Imebidi sasa nitafute mdada wa kazi walau aje twice per week kupiga usafi heavy
Imefika time nikihama kwanza sitaki makorokocho ndani kabisa kutoka na najua hali yangu huwa napanga nyumba nzima naweka vitu essential tu Kabati, Fridge, Kitenga cha nguo chafu mziki, TV na Sofa moja pamoja na Godoro nene nalala chini tu vinakuwa spaced kiasi kwamba sitaki ujinga wa vyombo wala manguo mengi na viatu
 
Hongera kwa kupanga nyumba nzima.
 
Yupo mi ninakaa nae anapolala kufanya usaf labda umwambie mpaka huwa nakaa kmya tu
 
Tatizo hamkumpeleka shule . Mpeleke memkwa atabadilika
 
Ni madeko tu hayo hana ile munkari ya kujishughulisha
 
Nenda nae taratibu Kuna muda ukifika atakaa sawa tu...
 
Mtoto wa Miaka 17 sio wa kufundishwa usafi huyo ni kijana wa form four

Mnase makofi akili itakaa sawa asijione special.
 
Role model atoke wapi [emoji1787][emoji1787] ye mwenyewe kama mtu alikuwa anajiita trouble maker mtu wa mavurugu

Kuna comment alishawahi andika alimtega mtu na mguu aanguke bar makusudi
mkuu bado unskumbuka tu ule mkasa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Imagine mwanaume unajua hadi kupika chapati...kuna kuoa kweli hapo?
🀣🀣🀣 Ila me vitu vya ngano siwezi bana kupika kulwa we mwenyewe wajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…