Namshangaa huyu mwanamke wangu

Namshangaa huyu mwanamke wangu

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Hope mpo salama,

Niende straight kuhusu mwanamke ambaye niko naye kimahusiano.

Mwanamke huyu ananishangaza saana,

Kwanza nilishamwambia mimi sina mpango wa kumuoa wa kuoa karibuni coz siamini wanawake hivo ka ataona namchelewesha acheki na mtu mwingine, akasema sawa ila hawezi niacha.

Kilichofuata ni kutumia gharama zake kwangu, anajitoa saana ikiwa mimi sijitoi kihivyo, kiasi ya kwamba namuonea huruma saana kumwambia tuachane, japo ashakutana na condoms na wapambe washamwambia nna mwanamke mwingine akawajibu hana mda wakunifuatilia wala kujua chochote maana anaweza kuua mtu.

Kifupi simpendi ki ndoa kutokana na kabila lake na kupenda kwake ngono za kivita. Mfupi na chibonge.

Sasa sijui anampango gani na mimi namshangaa saana nisaidieni ndugu zangu
 
Wanaume ndivyo mlivyo,baada ya kumtumia mwanamke unaanza kumuona taka taka na kumsemea madhaifu yake.

Kama ulijua kwamba huna mpango naye kwani ulienda kumtongoza,huoni Kama umeblackmail hisia zake na kumpotezea muda?
 
Back
Top Bottom