Namshangaa huyu mwanamke wangu

Namshangaa huyu mwanamke wangu

Nitumie namba yake PM nimkanye aache kukung'ang'ania
Ka uko siriazi anza kunicheki nikupe namba zake ukifanikiwa na pesa juu nakupa maana washkaji zangu niliwapa kazi wakafeli
 
Kama haumpendi mtu hakuna haja ya kupokea vitu vyake , hii itamuumiza sana baadae akijua ulikua haupendi ila vyake ulichukia , bora umwambie mapema kuwa hauvutiwi nae na hauna malengo nae , ili yeye afanye maamuzi , kubaki kwako ama kusonga mbele , hakuna kitu kizuri kama kuwa muwazi kwenye mahusiano .
Ushawahi kupendwa kindaki ndaki na mwanamke mkuu?

Hata umwambie nini hasikii wala haelewi. Bahati itakua kwako kama uko mbali nae ila mnaishi karibu atakuzonga kinyama.

Huyi mleta uzi namuelewa anachopitia .
 
Back
Top Bottom