Namshangaa huyu mwanamke wangu

Namshangaa huyu mwanamke wangu

Hapo shida ni ufupi na ukibonge,sasa wakati unamtongoza hukuyaona hayo?
Kama ulitaka kupiga tu,wenzako huwa hatusave hata namba..na unahakikisha ukimla unamlipa baada ya hapo hutamfuti tena,mwenyewe atajiongeza.
Mi mgeni huku basi ngoja ni take a note mzee
 
Hope mpo salama,

Niende straight kuhusu mwanamke ambaye niko naye kimahusiano.

Mwanamke huyu ananishangaza saana,

Kwanza nilishamwambia mimi sina mpango wa kumuoa wa kuoa karibuni coz siamini wanawake hivo ka ataona namchelewesha acheki na mtu mwingine, akasema sawa ila hawezi niacha.

Kilichofuata ni kutumia gharama zake kwangu, anajitoa saana ikiwa mimi sijitoi kihivyo, kiasi ya kwamba namuonea huruma saana kumwambia tuachane, japo ashakutana na condoms na wapambe washamwambia nna mwanamke mwingine akawajibu hana mda wakunifuatilia wala kujua chochote maana anaweza kuua mtu.

Kifupi simpendi ki ndoa kutokana na kabila lake na kupenda kwake ngono za kivita. Mfupi na chibonge.

Sasa sijui anampango gani na mimi namshangaa saana nisaidieni ndugu zangu
kwahyio kilicho kupeleka kwake ni kipi kama ni hivyo
 
Are you coming from Dasalam kinondoni...?

Imeandikwa mwanaume aoe wanawake awapendao wawili,watatu adi wanne ila akiohofia kutofanya uhadilifu basi aoe mmoja...
 
Ulimtongozaje usiyempenda?
 
Nitumie namba yake PM nimkanye aache kukung'ang'ania
 
Eb ...kwanza fafanua ngono za kivita zipo vipi
 
Ngono za kivita!!Kiaje hio mkuu[emoji3525]
 
Are you coming from Dasalam kinondoni...?

Imeandikwa mwanaume aoe wanawake awapendao wawili,watatu adi wanne ila akiohofia kutofanya uhadilifu basi aoe mmoja...
Nipo dasalama na nnao ka sita hivi wote wananihonga na kunibembeleza nisiwaache
 
Back
Top Bottom