Namshangaa huyu mwanamke wangu

Namshangaa huyu mwanamke wangu

Aisee hebu leta no yake tumshtue mwamba aache kupoteza muda
 
Wanaume ndivyo mlivyo,baada ya kumtumia mwanamke unaanza kumuona taka taka na kumsemea madhaifu yake.

Kama ulijua kwamba huna mpango naye kwani ulienda kumtongoza,huoni Kama umeblackmail hisia zake na kumpotezea muda?
Unajuaje ka ye ndo alinitongoza??
Wanawake wa siku hizi ni wasanii saana kwani unafikiri hana wanaume wengine?
 
Kama haumpendi mtu hakuna haja ya kupokea vitu vyake , hii itamuumiza sana baadae akijua ulikua haupendi ila vyake ulichukia , bora umwambie mapema kuwa hauvutiwi nae na hauna malengo nae , ili yeye afanye maamuzi , kubaki kwako ama kusonga mbele , hakuna kitu kizuri kama kuwa muwazi kwenye mahusiano .
 
Nilishamuweka wazi ila yeye kaamua njia ya kunihudumia pengine nitabadili mwelekeo sa kusa langu ni lipi??
 
Hauna kosa mkuu ,ila shida yako hauna msimamo , mwanaume unatakiwa uwe na katiba yako mtu anaeshindwa kuifuata apite kushoto nje na katiba yako hakuna kufanya maamuzi.
 
Nilishamwambia yeye ni Queen of mizangamuo ivo ntamtumia kwenye sekta hiyo anasema sawa lakini akaniambia anatamani angekua mke kabisa
 
Back
Top Bottom