Namshangaa sana mtu anayeishabikia CCM

Namshangaa sana mtu anayeishabikia CCM

haha ivi kwann mnajionaga kama nyie ndo mna akili kuliko watu wote nchi nzima
Hapana mkuu, ccm inaalibu vipaji vya taifa hili, MFANO ebu jiangalie kipaji Chako kilivyo shuka,

Yani majembe katika taifa tunawapoteza Sana pitia ccm , roho zinatuuma Sana Yani,
 
vipaji vipi sasa mkuu? unamaaanisha kutengeneza helicopter kwa engine ya pikipiki?
 
Ficha upumbavu wako. Mkiambiwa ukiwa ccm akili zinayeyuka mnabisha. Sasa Lema kuuza tshirt inakuhusu nini kama sio ujinga tu. Kwa nini usifocuss kwenye mambo yenye tija badala ya kutoa maneno kama ya wanawake wacheza vigodoro.

mbna povu sasa mkuu si alikua anuza tshirt kwel ama namsingizia?
 
Wasioishabikia CCM wamekosa kabisa uwezo na ushawishi japo ule wa kufanya kitu kitakachowabadili wale wanaoishabikia CCM

Fanya mambo wakuelewe, njoo na matatatizo na ushauri kuhusu kuyamaliza hayo matatizo. Ukija na malamiko tuu CCM WATAENDELEA KUCHUKUA NA NA KUWEKA WAAAAA

MUNGU IBARIKI TANZANIA 🙏
Haa haa haa...

Mama D katika ubora - ubovu wake...

Umesema itakuwa kinafanyeje eti?.... Inachukua na kumwaga pwaaa..., au nimikosea miye..?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acha ujinga weweeeeeee
 
Huwa najiuliza, hivi mtu kabisa na akili zako timamu unashabikia CCM? Binafsi nina amini wanaoshabikia CCM ni wale wenye maslahi binafsi otherwise uwe taahira. Chama kilichoisababishia nchi ufukara na matatizo lukuki unakishabikia kwa lipi?

At least JPM alipoingia tulianza kuona matokeo kiduchu ya kimaendeleo lakini bado hai-justify ufukara na matatizo lukuki yaliyosababishwa na hiki chama.

Wanawake, watoto wachanga kibao wamepoteza maisha kwa kukosa huduma bora za afya miaka nenda rudi. Huduma ya maji safi na salama vijijini na mijini bado shida, ajira kwa wahitimu hakuna, matatizo chungu nzima.

Jamani hebu nisaidieni labda kuna kitu sikielewi, hivi mnaoipenda CCM nnaipendea nini? Wale wenye maslahi binafsi kwenye chama kama watoto wa mawaziri, wabunge na wateule wa rais kwenye nyadhifa mbalimbali wana sababu ya kuipenda CCM, sasa hawa wengine raia wa kawaida naomba mnisaidie, CCM mnaipendea nini?

mama D johnthebaptist Magonjwa Mtambuka jingalao barafuyamoto YEHODAYA Stroke Kinuju MOTOCHINI Pulchra Animo
Msukuma org huna AKILI period
 
Wasukuma wote wangekuwa kama wewe, hii nchi ingepata ukombozi wa kweli mapema sana!

Kushabikia ccm ni sawa tu na kujigeuza na kuwa msukule! Unless otherwise uwe kwenye mfumo wa ulaji. Maana ccm ni kikundi tu cha watafunaji wachache wa keki ya Taifa.

Wanarithishana tu kitoka kizazi kimoja kwenda kingine. Mifano ni mingi, muda ni mchache.
Wengine tunakipenda tuu chama chetu CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasukuma wote wangekuwa kama wewe, hii nchi ingepata ukombozi wa kweli mapema sana!

Kushabikia ccm ni sawa tu na kujigeuza na kuwa msukule! Unless otherwise uwe kwenye mfumo wa ulaji. Maana ccm ni kikundi tu cha watafunaji wachache wa keki ya Taifa.

Wanarithishana tu kitoka kizazi kimoja kwenda kingine. Mifano ni mingi, muda ni mchache.
Sasa watu washabikie chama gani ? Au unataka washabikie Magaidi chadema?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huwa najiuliza, hivi mtu kabisa na akili zako timamu unashabikia CCM? Binafsi nina amini wanaoshabikia CCM ni wale wenye maslahi binafsi otherwise uwe taahira. Chama kilichoisababishia nchi ufukara na matatizo lukuki unakishabikia kwa lipi?

At least JPM alipoingia tulianza kuona matokeo kiduchu ya kimaendeleo lakini bado hai-justify ufukara na matatizo lukuki yaliyosababishwa na hiki chama.

Wanawake, watoto wachanga kibao wamepoteza maisha kwa kukosa huduma bora za afya miaka nenda rudi. Huduma ya maji safi na salama vijijini na mijini bado shida, ajira kwa wahitimu hakuna, matatizo chungu nzima.

Jamani hebu nisaidieni labda kuna kitu sikielewi, hivi mnaoipenda CCM nnaipendea nini? Wale wenye maslahi binafsi kwenye chama kama watoto wa mawaziri, wabunge na wateule wa rais kwenye nyadhifa mbalimbali wana sababu ya kuipenda CCM, sasa hawa wengine raia wa kawaida naomba mnisaidie, CCM mnaipendea nini?

mama D johnthebaptist Magonjwa Mtambuka jingalao barafuyamoto YEHODAYA Stroke Kinuju MOTOCHINI Pulchra Animo
@thetallest jitombashisho IDEGENDA Mathanzua Wakudadavuwa Kamanda Asiyechoka
 
.
JamiiForums313878302.jpg
 
Back
Top Bottom