Namshauri daktari aliyesimamishwa kazi na Waziri wa Afya huko Chunya, Mbeya, aingie sekta binafsi

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Nadhani kisa cha huyu doctor aliyesimamishwa kazi na Waziri Gwajima kwa sakata la ugonjwa ulioibuka huko Chunya, Mbeya kitampa jibu zuri sana kwa nini madaktari na wafanyakazi wengine wengi wanaamua kukimbia ajira za serikalini na kuingia private sector.

Ukweli ni kwamba katika awamu ya uongozi wa Magufuli, kufanya kazi serikalini, na hasa ukiwa na madaraka fulani imekuwa kero sana. Uongozi wa juu umesimamia zaidi kwenye siasa na kujipendekeza kwa Magufuli kuliko taaluma za kazi. Viongozi seikalini wamekuwa waoga wa kufanya maamuzi, na mara nyingine hata kuchukua msimamo kwamba ni bora kutofanya chochote kuliko kufanya kitu halafu Magufuli au waziri wakakutumbua.

Sasa kazi katika mazingira kama hayo inakuwa very stressful - kwanza mtu unakuwa na stress za kazi, na pili unakuwa na stress za kiongozi mwenye nidhamu ya woga anaegopa kufanya maamuzi au anaefanya maamuzi ili kujipendekeza au kujikosha kwa Magufuli asitumbuliwe yeye!

Kwa hiyo Magufuli anapaswa kuelewa kwamba kwa sasa kufanyia kazi serikali ni kujitafutia stress zisizo la lazima zinazoweza kukuaa kabla ya wakati wako, na kadiri unavyokuwa na madaraka ndivyo stress zinavyozidi.

Mfano mzuri ni huyu Waziri Gwajima, alivyokurupuka kumsimamisha kazi huyu daktari. Gwajima hakufanya hivyo kama taratibu za kazi, bali amefanya hivyo kumu-impress Magufuli - na ni wazi amefanya uamuzi mbaya na wa uonevu. Sasa huyu doctr akienda private sector, au madaktari wengine wakifanya hivyo kwa kuepuka hii mihemuko ya kisiasa kwenye taaluma mtawalaumu?
 
So hajasimamishwa bwa shee, waziri alitudanganya ili ainue jukwaa

RC alienda kuongea na wananchi na kupata majibu kuwa ugonjwa upo. RC vs Waziri wote ni watumishi wa serikali naona wanakinzana

Nukuu ya sehemu ya mleta mada JF kwa jana

".... RC Chalamila akatoa agizo kwa mganga wa wilaya kuhakikisha wagonjwa wote 22 wanapelekwa hospitali ya Rufaa Mbeya kwa uchunguzi zaidi na matibabu....."
 
...
Mfano mzuri ni huyu Waziri Gwajima, alivyokurupuka kumsimamisha kazi huyu daktari. Gwajima hakufanya hivyo kama taratibu za kazi, bali amefanya hivyo kumu-impress Magufuli - na ni wazi amefanya uamuzi mbaya na wa uonevu. Sasa huyu doctr akienda private sector, au madaktari wengine wakifanya hivyo kwa kuepuka hii mihemuko ya kisiasa kwenye taaluma mtawalaumu?
... ukisoma vizuri ile press release ya Wizara ya Afya hila zote zimewekwa kuhakikisha yule Dr hachomoi. Ina kipengele kinasema "... na hata kama ni kweli kungekuwa na ugonjwa, mwenye mamlaka ya kutangaza ni waziri wa afya ...".

Hapa always hata "akipangua" vipengele vingine vyote, hiki cha "kutangaza" hachomoi unless airidhishe mamlaka ya nidhamu kwamba "hakutangaza".
 
... kosa ambalo Dr yule hatachomoa ni kujitwalia mamlaka ya "kutangaza" huku akijua mamlaka hayo ni ya waziri wa afya peke yake au kwa atakayemkaimisha kwa niaba yake. Mnakumbuka ya Dr. Mwele Malecela na zika? Analiwa kichwa yule.
 
Wananchi wamemuambia Mkuu Wa Mkoa kwamba watu waliokufa kwa ugonjwa ule ni zaidi ya 30, na zaidi ya 27 wana hali mbaya.
... yote hayo yanweza kuwa sahihi ila ... kosa ambalo Dr yule hatachomoa ni kujitwalia mamlaka ya "kutangaza" huku akijua mamlaka hayo ni ya waziri wa afya peke yake au kwa atakayemkaimisha kwa niaba yake. Mnakumbuka ya Dr. Mwele Malecela na zika? Analiwa kichwa yule.
 
Nadhani kisa cha huyu doctor aliyesimamishwa kazi na Waziri Gwajima kwa sakata la ugonjwa ulioibuka huko Chunya, Mbeya kitampa jibu zuri sana kwa nini madaktari na wafanyakazi wengine wengi wanaamua kukimbia ajira za serikalini na kuingia private sector.

Ukweli ni kwamba katika awamu ya uongozi wa Magufuli, kufanya kazi serikalini, na hasa ukiwa na madaraka fulani imekuwa kero sana. Uongozi wa juu umesimamia zaidi kwenye siasa na kujipendekeza kwa Magufuli kuliko taaluma za kazi. Viongozi seikalini wamekuwa waoga wa kufanya maamuzi, na mara nyingine hata kuchukua msimamo kwamba ni bora kutofanya chochote kuliko kufanya kitu halafu Magufuli au waziri wakakutumbua.

Sasa kazi katika mazingira kama hayo inakuwa very stressful - kwanza mtu unakuwa na stress za kazi, na pili unakuwa na stress za kiongozi mwenye nidhamu ya woga anaegopa kufanya maamuzi au anaefanya maamuzi ili kujipendekeza au kujikosha kwa Magufuli asitumbuliwe yeye!

Kwa hiyo Magufuli anapaswa kuelewa kwamba kwa sasa kufanyia kazi serikali ni kujitafutia stress zisizo la lazima zinazoweza kukuaa kabla ya wakati wako, na kadiri unavyokuwa na madaraka ndivyo stress zinavyozidi.

Mfano mzuri ni huyu Waziri Gwajima, alivyokurupuka kumsimamisha kazi huyu daktari. Gwajima hakufanya hivyo kama taratibu za kazi, bali amefanya hivyo kumu-impress Magufuli - na ni wazi amefanya uamuzi mbaya na wa uonevu. Sasa huyu doctr akienda private sector, au madaktari wengine wakifanya hivyo kwa kuepuka hii mihemuko ya kisiasa kwenye taaluma mtawalaumu?
Atapigwa uhujumu uchumi mkuu
 
Kwa

Kifupi, kama umepewa madaraka na unakosa ujasiri wa kufanya maamuzi yenye tija kwa wananchi na Tz basi ni wazi hicho cheo hakikufai na hata ksbla ya kutumbuliwa ww jitumbue mwenyew! Wanaoshindwa kufanya maamuzi siyo kweli kuwa wanashindwa bali kinachotakiwa kutatuliwa kinakuwa hakina tija binafsi ya huyo kiongozi ndio maana anakipotezea! Kama kuna maamuzi hayo yanaambatana na fungu lake binafsi mbona wanatoaga maamuzi fasta! Kipindi cha awamu hii cha kwanza ktk kufanya maamuzi lazima kizangatie tija kwa wananchi maskini na nchi kwa ujumla! Ukitanguliza maslahi binafsi lazima yatakukuta makubwa! Ww na wenzio mnaolalama kila kukucha ni miongoni mwa watu mliozoea kutumia vyeo kupitishia maamuzi yasiyo na tija kwa taasisi, wananchi na nchi kwa ujumla bali maslahi binafsi! Awamu hii imewavuruga kwelikweli na hivyo kujikuta mnaganda wakati wa kufanya maamuzi yenye tija kwa jamii na siyo yenu binafsi!
 
... ukisoma vizuri ile press release ya Wizara ya Afya hila zote zimewekwa kuhakikisha yule Dr hachomoi. Ina kipengele kinasema "... na hata kama ni kweli kungekuwa na ugonjwa, mwenye mamlaka ya kutangaza ni waziri wa afya ...".

Hapa always hata "akipangua" vipengele vingine vyote, hiki cha "kutangaza" hachomoi unless airidhishe mamlaka ya nidhamu kwamba "hakutangaza".
MKuu, kutangaza ni kuwaita watu wa press na kuwaambaia kuna ugonjwa umezuka nk. Hilo ni jukumu la waziri.

Yeye alichofanya ni kujibu swali la mwandishi wa habari. Ndio kuna watu wanaumwa kutapika damu lakini bado tunachunguza ni nini hasa. Kumbuka kwamba katiba ya Tanzania inamtaka kutoa taarifa kwa umma, kutia waandishi wa habari. Yeyey kasema kuna tatizo hili, hajasema kuna ugonjwa mpya umezuka nk, nk. Baadaye inaweza kujulikana tatizo ni vidonda vya tumbo. Sasa Gwajima anawashwa nini hapo?
 
Kwa

Kifupi, kama umepewa madaraka na unakosa ujasiri wa kufanya maamuzi yenye tija kwa wananchi na Tz basi ni wazi hicho cheo hakikufai na hata ksbla ya kutumbuliwa ww jitumbue mwenyew! Wanaoshindwa kufanya maamuzi siyo kweli kuwa wanashindwa bali kinachotakiwa kutatuliwa kinakuwa hakina tija binafsi ya huyo kiongozi ndio maana anakipotezea! Kama kuna maamuzi hayo yanaambatana na fungu lake binafsi mbona wanatoaga maamuzi fasta! Kipindi cha awamu hii cha kwanza ktk kufanya maamuzi lazima kizangatie tija kwa wananchi maskini na nchi kwa ujumla! Ukitanguliza maslahi binafsi lazima yatakukuta makubwa! Ww na wenzio mnaolalama kila kukucha ni miongoni mwa watu mliozoea kutumia vyeo kupitishia maamuzi yasiyo na tija kwa taasisi, wananchi na nchi kwa ujumla bali maslahi binafsi! Awamu hii imewavuruga kwelikweli na hivyo kujikuta mnaganda wakati wa kufanya maamuzi yenye tija kwa jamii na siyo yenu binafsi!
NI wazi wewe bado hujapata ajira, na kama unayo serikalini basi ni mtu mdogo sana, labda kibarua!
 
Duh, huu ndio mtazamo finyu sana utakaoendelea kukutesa sana! Na Magu bado yupo saaana! Kwa mtu mwenye mtazamo finyu kama wako lazima atakufa ganzi ktk kufanya maamuzi ktk awamu hii! Kitu rahisi kabisa, kwa mwenye utimamu wa akili na kujitambua, kwa nini uendelee kukalia kiti usichoweza kukitolea maamuzi! Hukulazimishwa na mtu, achia ngazi waje wanaoweza chukua hatua na maamuzi kwa kujiongeza! Vinginevyo, ni muda tu, kutumbuliwa kunakuhusu!
By the way, ninayoajira na cheo kizuri tu na sioni shida kutoa maamuzi yenye tija kwa taasisi na nchi kwa ujumla! Na pia nikiona hali sipati ushirikiano ktk jambo la maslahi mapana kwa jamii sioni shida kuachia ngazi! Sina muda wa kukalia kiti kama boya!
 
Du, hicho cheo aliyekupa mmh, maana hata kundika huwezi
 
Nadhani kisa cha huyu doctor aliyesimamishwa kazi na Waziri Gwajima kwa sakata la ugonjwa ulioibuka huko Chunya, Mbeya kitampa jibu zuri sana kwa nini madaktari na wafanyakazi wengine wengi wanaamua kukimbia ajira za serikalini na kuingia private sector.

Ukweli ni kwamba katika awamu ya uongozi wa Magufuli, kufanya kazi serikalini, na hasa ukiwa na madaraka fulani imekuwa kero sana. Uongozi wa juu umesimamia zaidi kwenye siasa na kujipendekeza kwa Magufuli kuliko taaluma za kazi. Viongozi seikalini wamekuwa waoga wa kufanya maamuzi, na mara nyingine hata kuchukua msimamo kwamba ni bora kutofanya chochote kuliko kufanya kitu halafu Magufuli au waziri wakakutumbua.

Sasa kazi katika mazingira kama hayo inakuwa very stressful - kwanza mtu unakuwa na stress za kazi, na pili unakuwa na stress za kiongozi mwenye nidhamu ya woga anaegopa kufanya maamuzi au anaefanya maamuzi ili kujipendekeza au kujikosha kwa Magufuli asitumbuliwe yeye!

Kwa hiyo Magufuli anapaswa kuelewa kwamba kwa sasa kufanyia kazi serikali ni kujitafutia stress zisizo la lazima zinazoweza kukuaa kabla ya wakati wako, na kadiri unavyokuwa na madaraka ndivyo stress zinavyozidi.

Mfano mzuri ni huyu Waziri Gwajima, alivyokurupuka kumsimamisha kazi huyu daktari. Gwajima hakufanya hivyo kama taratibu za kazi, bali amefanya hivyo kumu-impress Magufuli - na ni wazi amefanya uamuzi mbaya na wa uonevu. Sasa huyu doctr akienda private sector, au madaktari wengine wakifanya hivyo kwa kuepuka hii mihemuko ya kisiasa kwenye taaluma mtawalaumu?
CCM ni Shetani 🐍 Mkuu. Wanaweza hata kumpora leseni.
 
Weye naye! Sasa hapo CCM na shetani vinahusianaje!? Acha chuki, ona sasa zimeshakupofusha ufahamu!
Pole!
 
Back
Top Bottom