Namshauri Diamond Platnumz amsajili Aslay, WCB

ni swala la mdaa tu kabla dogo ajampiku daimond, nadhani kilichokuwa kina mchelewesha dogo ni ile yamoto band .... daimond hana cha kumzidi aslay.
Mnh! Imemchelewesha Yamoto wakati wakati hao ndio waliomtoa?! Mwogopeni Mungu!
 
dogo kabla ya yamoto band alikuwa star tayari mkuu, japo kuwa yamoto imemsogeza mahala fulani lakini nadhani kwamba angelikuwa solo artist angelikuwa mbali zaidi.

hivi umeskia goma lake jipya "natamba"? tafuta na video kama hujaiona bado
 
Alikuwa star kutokea wapi kama sio Mkubwa na Wanawe ambae ndio huyo huyo wa Yamoto Band?

Hiyo ngoma nishaiona manake niliiona amei-post Diamond! Na wala sio kwamba nakataa Aslay sio fire lakini leo hii kumpiku Diamond ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri!!! Ukiona hata Kiba mwenye mashabiki kila kona anapata shida kumshusha Diamond basi ufahamu sio kazi ndogo! The guy ana big empire nyuma yake
 
Hii dhana ya kushusha mmoja na kupandisha mwingine sijui tuliitoa wapi wa Tz.
mimi naamini wanaeza kuwa juu wote
ila Aslay kakosa management imara
wasanii Wengi Wcb wanafata management!

wangepatikana wakina sallam Sk wa 5 tu wasanii wangekua mbali
 
Aslay alifanya kosa kubwa kujiunga na yamoto mana walikua wanaitembelea nyota yake.
Aslay asijiunge kokote haitaji kua chini ya lebo yule.
 
Mi naona asimame kama solo artiste isije ikamtokea kama YAMOTO BAND
 
Aslay anakimbiza music wake mitaani bila msaada wowote ,ni muda tu dogo atakuwa juu maana naona diamond kaendekeza umalaya tu hicho kitu kinawauzi watu wengi ,asisahau wanawake wa kiafrica kwa kuroga wanaume ajiandae tu ....hii zaa zaa hovyo atakuja pata mwanamke anayesema "bora tukose wote"
 
Asley ni zaidi ya Mondi, akienda pale labda yeye ndio awe bosi wa WCB... Mtoto ana kipaji na sauti murua kabisa, apige kivyake akitaka afungue lebo yake sio kujumuika WCB kama kikundi cha taarab.
 
Alikuwa star kutokea wapi kama sio Mkubwa na Wanawe ambae ndio huyo huyo wa Yamoto Band?

Hiyo ngoma nishaiona manake niliiona amei-post Diamond! Na wala sio kwamba nakataa Aslay sio fire lakini leo hii kumpiku Diamond ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri!!! Ukiona hata Kiba mwenye mashabiki kila kona anapata shida kumshusha Diamond basi ufahamu sio kazi ndogo! The guy ana big empire nyuma yake
mkubwa na wanawe sio yamoto band

mkubwa na wanawe ni kituo cha vipaji ndani yake kuna wasanii solo na band pia i.e madada sita,tmk salam,yamoto band and etc

kabla ya kuwa kwenye band aslay alikuwa solo artist hapo mkubwa na wanawe.
 
Huku mtaani Aslay Anasikika kuliko Dimond....Akienda kule watatembelea nyota yake atafanyiwa figisu figisu ili mradi wammalize
 
Saidi Fella meneja wa Diamond si ndio alikua meneja wa Aslay..?pale WCB yupo Maromboso ujue kutoka Ya Moto Band ivyo akienda na Aslay basi itakua band inarudi mlango wa nyuma,bora atumie nguvu kumsogeza yule Lavalava kwanza maana Aslay ni bora akibaki mwenyewe.
 
We wa wapi, wakati dogo anatamba na 'naenda kusema' ulikuwa Kolomije?
E bhana eh!!! Au na wewe ulikuwa Nanjilinji kiasi kwamba hufahamu kwamba Naenda Kusema aliitoa akiwa chini ya Mkubwa na Wanawe, yaani Mkubwa Fella ambae ndie huyo huyo wa Yamoto Band!!!
 
mkubwa na wanawe sio yamoto band

mkubwa na wanawe ni kituo cha vipaji ndani yake kuna wasanii solo na band pia i.e madada sita,tmk salam,yamoto band and etc

kabla ya kuwa kwenye band aslay alikuwa solo artist hapo mkubwa na wanawe.
Yamoto Band ni ya nani na Mkubwa na Wanawe ni ya nani?! Au na wewe unatakiwa kuambiwa kwamba neno "Mkubwa" ni Said Fella ambae anafahamika kama Mkubwa Fella ambae ndie huyo huyo wa Yamoto Band!!!
 
Soma comment yangu kabla ya hii nimeeleza vizuri ..yamoto band ipo ndani ya mkubwa na wanawe , msanii anaweza kuwa mkubwa na wanawe lakini si member wa yamoto band..

Aslay alikuwa solo wakati anatamba navibao vyake vilivyomtambulisha mfano "naendakusema" na "kuwa nawe ft temba"
 
E bhana eh!!! Au na wewe ulikuwa Nanjilinji kiasi kwamba hufahamu kwamba Naenda Kusema aliitoa akiwa chini ya Mkubwa na Wanawe, yaani Mkubwa Fella ambae ndie huyo huyo wa Yamoto Band!!!
Yamoto band imeundwa baadae sana baada ya izo ngoma kutoka.

Hakukuwa na yamoto band kipindi cha "naenda kusema" ilikuja baadae sana baada ya wakina enock,mbosso na becka kuja.... nawakati yamoto inaanzishwa na vijana hawa wa nne aslay was a star already(talk of the town).
 
Back
Top Bottom