screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Tutakuelewaje wakati umeandika pumbaAslay ananyota ya kupendwa Tu in a normal way lakini hana nyota ya kung'aa.......sijui mnanielewa vzur waungwana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuelewaje wakati umeandika pumbaAslay ananyota ya kupendwa Tu in a normal way lakini hana nyota ya kung'aa.......sijui mnanielewa vzur waungwana?
Yah, you're right; naikumbuka lakini na yenyewe aliitoa wakati yupo Mkubwa na Wanawe; manake ndo hoja yangu halisi!Alikuwa nao unaitwa Uwe nami amemshirikisha temba! Bonge moja la song.....
Nimemuongelea mboso kwasababu ndo alokuwa kwenye kundi moja na wenzake kina aslay na beka (ya moto band) kuhusu hao lavalava na rayvany cjui ni out of this topicUmewahi kumsikiliza Lavalava amekaa muda gani pale WCB?! Btw, huyo Mboso ametangazwa lini pale WCB? Na kwanini iwe Mboso na isiwe kwa Rayvann, Harmonize na Rich Mavoko?
Kweli kabisaLabels ni utumwa, ndio maana wajanja wanakataaga. Wachache wanahadaikaga na zile usd kadhaa wanazosainia ila baada ya hapo hufanyi kazi unaskilizia tu
Not out of topic kwa sababu hoja yako kuhusu Mboso ni kwamba hadi sasa hajatoa ngoma na kwahiyo ni kama anabaniwa! Na ndio nimekuuliza, kama Mboso anabaniwa simply because hajatoa ngoma; what about mtu kama Lavalava ambae alikaa zaidi ya mwaka mmoja?! Kwanini asibaniwe mtu kama Rich Mavoko ambae kila mtu anafahamu jinsi alivyo mkali!!Nimemuongelea mboso kwasababu ndo alokuwa kwenye kundi moja na wenzake kina aslay na beka (ya moto band) kuhusu hao lavalava na rayvany cjui ni out of this topic
Mimi naongelea yamoto kama band ilificha kipaji cha dogo maana alikuwa hana uhuru wa kufanya kazi zake kama sasa maana alikuwa anaimba part ndogo sana.Tunapopishana ni pale unaposema Yamoto Band ndiyo imemchelewesha bila kuzingatia ni mmiliki wa Yamoto Band ndie alimwibua Aslay wakati hafahamiki popote!!
But I can understand you guys! Kwa kawaida Wabongo huwa hatu-appreciate wale walio-display vipaji vya watu na mkiona watu waki-shine mnadhani walifika wenyewe hapo walipo bila kufahamu mtaani kuna vipaji kibao lakini havionekani kwa sababu havijapata watu wa kuwatoa!!!
Game la muziki ni gumu kuliko kuwa na kipaji cha kuimba!!! Wangapi wana vipaji na hivi sasa wapo?! Msikilize hata Mayunga! The boy is very talented lakini yupo kimyaa! Hiyo kuonesha game la muziki ni zaidi ya kujua kuimba au kuwa na sauti mzuri!!!!
Anyway, endeleeni kuamini mnavyoamini kwamba "walikuwa wanacheleweshwa" na kwamba hivi sasa wana uwezo wa kupasua anga!!!
Ikiwa hata mkongwe kama Lady JD alishindwa kupasua anga kivyake vyake pasipo na wadau basi Aslay atakuwa ni kiboko kama anao huo uwezo!!!
Ruby walikuwa wanampa kichwa hivi hivi lakini taratibu ndo anapotea hivyo!!!
Beka namkubali sana lakini si wakunfananisha na aslay.Aslay hayupo kimataifa na sioni brand yake ikirumu mwaka humu nchini, nyimbo zake zinafanana!
Beka ni zaidi ya Aslay, hana nyota tu!
Okei, kwangu mimi namuona Aslay wa kawaida sana. Aliwa dogo utoto ulimbeba kuwa maarufu! Nchi jirani hajulikani na hata humu ndani ana kibao gani kinachosumbua?? Nyimbo zake zinapata airtime sawa tu na zingine sababu hazina request sana.Beka namkubali sana lakini si wakunfananisha na aslay.
Mimi ni team kiba lakini i swear aslay kwa sasa anafanya mziki mzuri zaidi ya kiba na daimond .
ni swala la mdaa tu kabla dogo ajampiku daimond, nadhani kilichokuwa kina mchelewesha dogo ni ile yamoto band .... daimond hana cha kumzidi aslay.
Mbona dogo anakimbiza sana mitaani na magoma yake mf. Mama, kidawa,muhudumu na hasahasa goma lake jipya "natamba" lenye video yenye viwango vya kimataifa.Okei, kwangu mimi namuona Aslay wa kawaida sana. Aliwa dogo utoto ulimbeba kuwa maarufu! Nchi jirani hajulikani na hata humu ndani ana kibao gani kinachosumbua?? Nyimbo zake zinapata airtime sawa tu na zingine sababu hazina request sana.
Hoja ilianzi pale uliposema it's a matter of time atamfunika Diamond!!! Nikakuambia game ya muziki ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri na nikahoji; kwani ni nani asiyemfahamu Aslay! Watu wanamfahamu tangu kitambo ndipo ukaja na hoja kwamba si ajabu hivi sasa ingekuwa ameshamfunika Diamond lakini Yamoto imemchelewesha!Mimi naongelea yamoto kama band ilificha kipaji cha dogo maana alikuwa hana uhuru wa kufanya kazi zake kama sasa maana alikuwa anaimba part ndogo sana.
Wala sijaponda uwongozi wa saidi fella katika kumsimamia aslay, fella ni manager mzuri sana tena zaidi hata ya huyu sijui "chambuso" .
Aslay hashindani na mtu... hizo ni fikra zangu tu kwamba namuona dogo mbali sana.Kama kashindwa Ali Kiba pamoja na support yote anayopewa na haters wa Diamond, Aslay bora aimbe tu, asitafute kumpiku mtu.
Haya twende taratibu sasa, Labda utuambie wewe unaona kitu gani ambacho daimond na kiba wanacho ambacho aslay hana ?Hoja ilianzi pale uliposema it's a matter of time atamfunika Diamond!!! Nikakuambia game ya muziki ni zaidi ya kuwa mwimbaji mzuri na nikahoji; kwani ni nani asiyemfahamu Aslay! Watu wanamfahamu tangu kitambo ndipo ukaja na hoja kwamba si ajabu hivi sasa ingekuwa ameshamfunika Diamond lakini Yamoto imemchelewesha!
Ndipo nikahoji imemchelewesha vipi wakati hapo kabla hakuna aliyekuwa anamfahamu Aslay lakini ni mmiliki wa Yamoto ndie aliyemtambulisha kwa public wakati akiwa Mkubwa na Wanawe!!!
But all in all, narudi pale pale!!! Game ya Bongo Flavor ni zaidi ya kujua kuimba!!! Sidhani hata wewe kama unaamini kwamba waimbaji bora muziki wa kizazi kipya ni Kiba na Diamond peke yao!! Wapo wasanii wenye uwezo kuliko Diamond na Kiba na wanafanya kazi kama Solo Artists lakini bado Diamond na Kiba wapo pale pale!!!!
Sasa ni kipi cha ziada alichonacho Aslay cha kuwazidi wasanii wengine wooooooote hadi ionekane it's a matter of time atampiku Diamond ambae wasanii kibao tu wenye uwezo wameshindwa kuchukua nafasi yake?!
And remember, sio kwamba sitamkii mema huyu dogo; hell no bali nazungumzia uhalisia wa Bongo Flavor!!! And in fact sio bongo flavor tu bali music industry in general popote pale duniani!!!! Kote huko ili uwe ontop ni zaidi ya kujua kuimba!!! Unaweza kutoa ngoma na zikawa Billboard Hit na kisha ukabeba Grammy Awards lakini usidhani eti hiyo ndo inaweza kuwa mwanzo wa kuchukua nafasi ya watu kama akina Beyonce!!!
Ndo maana yake mkuu nimemtolea mfano mboso kwasababu anaeongelewa hapa ni aliekuwa team mate wake kipindi cha yamoto kwahiyo wangetoka kivyao wote wanne ingeleta mvuto zaidiNot out of topic kwa sababu hoja yako kuhusu Mboso ni kwamba hadi sasa hajatoa ngoma na kwahiyo ni kama anabaniwa! Na ndio nimekuuliza, kama Mboso anabaniwa simply because hajatoa ngoma; what about mtu kama Lavalava ambae alikaa zaidi ya mwaka mmoja?! Kwanini asibaniwe mtu kama Rich Mavoko ambae kila mtu anafahamu jinsi alivyo mkali!!
Keword ni kwamba WCB atabaniwa na sio Yamoto Band!!!
True dogo anajuaBeka namkubali sana lakini si wakunfananisha na aslay.
Mimi ni team kiba lakini i swear aslay kwa sasa anafanya mziki mzuri zaidi ya kiba na daimond .
Seriously?! Tuchukue mfano mdogo sana! Aslay ana loyal fan base kubwa kumlinganisha na Diamond au hata Kiba?!Haya twende taratibu sasa, Labda utuambie wewe unaona kitu gani ambacho daimond na kiba wanacho ambacho aslay hana ?