Namshauri Diamond Platnumz amsajili Aslay, WCB

Namshauri Diamond Platnumz amsajili Aslay, WCB

Seriously?! Tuchukue mfano mdogo sana! Aslay ana loyal fan base kubwa kumlinganisha na Diamond au hata Kiba?!
Unajua kwanini hana the so called loyal fans? tunarudi kulekule kwamba bendi ilikuwa inamficha kuonyesha kipaji chake na sasa hivi ndo anaanza tengeneza hao loyal fans na mimi ni mmoja wa fans wake.
 
Ndo maana yake mkuu nimemtolea mfano mboso kwasababu anaeongelewa hapa ni aliekuwa team mate wake kipindi cha yamoto kwahiyo wangetoka kivyao wote wanne ingeleta mvuto zaidi
Ray, sasa wewe unazungumzia mvuto au unazugumzia how the business works?!

Na asikudanganye mtu, hiyo kutoka kivyao sio rahisi kama mnavyofikiria!!! Narudia, ku-shine kwenye game ni zaidi ya kujua kuimba!!! Ku-shine kwenye game ni lazima uwe na watu wanaoufahamu muziki na biashara ya muziki !!!

Enzi za Jide niliongea jukwaa hili hili kwamba Jide anaenda kupotea kwa sababu, hili game halijalishi umeanza muziki lini bali inategemea na watu waliopo nyuma yako!!! Likaja suala la Ruby, nikawa naona tu watu wanavyompa kichwa Rubby na nikawaambia mnamdanganya huyu binti!!! Ruby nae taratibu anapotea.

Lakini ukiujua muziki na biashara ya muziki, utajua nini ufanye wakati gani!!! Diamond hana sababu ya kumbania Mboso kwa sababu, kama angetaka kumbania, asingemwingiza kabisa kwenye timu!!!
 
Una roho mbaya wewe unataka apotezwe kama Rich Mavoko
 
Unajua kwanini hana the so called loyal fans? tunarudi kulekule kwamba bendi ilikuwa inamficha kuonyesha kipaji chake na sasa hivi ndo anaanza tengeneza hao loyal fans na mimi ni mmoja wa fans wake.
Ben Paulo ana fan base kubwa ambayo ni loyal kumlinganisha na Diamond au Kiba?! Au na yeye alikuwa kwenye band?

What about Barnaba? Au na yeye alikuwa kwenye band?

Na Jux je? Au na yeye alikuwa kwenye band?

Vipi kujusu Ditto? Nae alikuwa band ipi?

Wakati Rich Mavoko alivyokua anaelekea kupotea aalikuwa anaimbia band ipi?

Au unataka kusema wote hao si lolote si chochote mbele ya Aslay?!
 
Ben pol: mziki wake umepoa sana,haendani na soko japo kuwa anajua kuimba

JuX : hajui na hajawai kuujua kuimba

Mavoko: hana muonekano wakisanii
na hajui kujiweka kisanii

Barnaba: kama ben pol, same case.

Ditto: anaimba kizamani

Wasani wako wote sii reference nzuri kwa aslay... Aslay ni a different specie kabisa from those u've mentioned.

Aslay anavitu vyote ambavyo vinawafanya hao jamaa wako wakose loyal fans.
 
Hapana inafaa kuwe na ladha tofauti tofauti..ukiangalia WCB wanaiga kila kitu kutoka kwa bosi wao..tunzi, videos, hadi sauti wakati mwingine.. acha tupate vionjo mbalimbali na ubunifu tofauti kwenye game
 
Ben pol: mziki wake umepoa sana,haendani na soko japo kuwa anajua kuimba

JuX : hajui na hajawai kuujua kuimba

Mavoko: hana muonekano wakisanii
na hajui kujiweka kisanii

Barnaba: kama ben pol, same case.

Ditto: anaimba kizamani

Wasani wako wote sii reference nzuri kwa aslay... Aslay ni a different specie kabisa from those u've mentioned.

Aslay anavitu vyote ambavyo vinawafanya hao jamaa wako wakose loyal fans.
Basi endelea kujifurahisha hivyo hivyo kwamba it's a matter of time atampiku Diamond!!! Na kama success yake ni kumpiku Diamond basi I doubt kama hiyo success ataipata mapema manake hata huyo Kiba mwenyewe sidhani kama ndani ya nafsi yake anaamini kwamba ameshampiku Diamond!!!!!

Btw, unampa Aslay miezi mingapi kabla hajakua ndie Top in Tanzania, then East Africa kabla hajawa among top artists in Africa?!!!
 
Okei, kwangu mimi namuona Aslay wa kawaida sana. Aliwa dogo utoto ulimbeba kuwa maarufu! Nchi jirani hajulikani na hata humu ndani ana kibao gani kinachosumbua?? Nyimbo zake zinapata airtime sawa tu na zingine sababu hazina request sana.
Nyimbo za Aslay sio maarufu redioni ila ni maarufu mtaani, hao wasanii ambao nyimbo zao hazikauki kwenye rotation ya redio wanakalishwa vibaya kwenye show na Aslay, we hujiulizi kwanini pamoja na kwanga nyimbo zake hazichezwi sana redioni ila mashabiki kwenye show wanaimba naye mwanzo mwisho?
 
Mtaani wapi?? Nazisikia kwenye mabaa tu!!
 
Back
Top Bottom